Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Kwanini ulitaka asimkose? Amekosa nini cha kustahili kuuwawa?
Siku zake zingekuwa zimefika.
Kwanini ulitaka asimkose? Amekosa nini cha kustahili kuuwawa?
Ina maana wewe ndo ulimtuma huyo mwuaji? Utakufa wewe kabla huyo padre hajafa. Mbona unafurahia.kifo cha mtu? Kwani wewe unajua unaishi muda gani au utakufa kwa njia ipi? Mwombe Mungu akuondolee roho ya uuaji ndani mwako.
Ndo Tanzania anayotuachia Kikwete hiyo. Pili ijumaa Kuu hakuna MISA bali ni IBADA YA MATESO, misa ni kitu kingine tofauti kabisa!!!Padre wilayani Kisarawe Mkoani Wa Pwani anusurika kupigwa risasi!!! Mwenye taarifa zaidi aweke hapa vinginevyo ntarud na data.
Update:
Mtu mmoja ambae bado hajafahamika aliingia kanisani na kukaa dawat la mbele ktk misa Ya Ijumaa Kuu ya leo ktk kanisa la Kisarawe Pwani.
Baada ya muda mtu huyo alitoka nje kuongea na cm wakati anaongea na cm kamati ya ulinzi ya kanisa ilihis kitu ikawa inamfuatilia ndipo mtu huyo akatoa bastola akiwa ana I seti wakamuwahi wakamkamata na kupiga cm police.
Baada ya polisi kufika wakampiga sachi wakamkuta na bastola yenye risasi tatu ndani na risasi nyingine nne mfukoni, wakaondoka nae kwa upelelez zaidi.
Padre wilayani Kisarawe Mkoani Wa Pwani anusurika kupigwa risasi!!! Mwenye taarifa zaidi aweke hapa vinginevyo ntarud na data.
Update:
Mtu mmoja ambae bado hajafahamika aliingia kanisani na kukaa dawat la mbele ktk misa Ya Ijumaa Kuu ya leo ktk kanisa la Kisarawe Pwani.
Baada ya muda mtu huyo alitoka nje kuongea na cm wakati anaongea na cm kamati ya ulinzi ya kanisa ilihis kitu ikawa inamfuatilia ndipo mtu huyo akatoa bastola akiwa ana I seti wakamuwahi wakamkamata na kupiga cm p
risasi tatu?,sio ngwajima kweli huyo?
Kwa nini wamemkosa, huyo jamaa ana shabaha nini?
uislam ni ushetani sana!
Dunia isingekuwa na uislamu ingekuwa na amani sana
Ni kweli hata akina Stalin, Hitler na Mussolini walikuwa waislamu mujahidin (to mention a few).
Dunia isingekuwa na uislamu ingekuwa na amani sana
Kesho kwenye misa za usiku inabidi ulinzi uongezwe mara dufu
Kwa nini wamemkosa, huyo jamaa ana shabaha nini?
Sasa kuna shida gani wakati jumapili angefufuka.
Shetani ni mama yako na baba yako,mbwa koko wewe,uislam unauingiza vp hapo?
Hizi misa za usiku zinawamiza sana watoto wadogo KINJINSIA.
Serikali Inatakiwa KUSIMAMI HAYA MAKANISA YOTE yanayofanya ibada USIKU.
KULAWITI WATOTO kumezidi kwa kweli.
View attachment 239744
mbona waliomuua yesu hawakukutana na nguvu za yesu?Sio hana shabaha, amekutana na nguvu za"YESU" akili zikapotea akabaki anababaika..!!