Padre anusurika kupigwa risasi Wilayani Kisarawe

Padre anusurika kupigwa risasi Wilayani Kisarawe

Hiki kipindi cha sikukuu yatatokea mengi tu ya aina hii.
 
mbona waliomuua yesu hawakukutana na nguvu za yesu?

Wewe unafuata mkumbo tu huna unalofahamu chini ya jua, baada ya YESU kukata roho tetemeko kubwa sana lilitokea, na wale wayebusi wenzio wakatetemeka kinoma wakasema hakika huyu alikuwa mwana wa mungu then yuda akaenda kujinyonga na wengine kutubu na kuokoka. upo..!!
 
sasa na huyu angeuawa basi ili tetemeko litokee
 
Sio hana shabaha, amekutana na nguvu za"YESU" akili zikapotea akabaki anababaika..!!

Duuuu kaazi kwelikweli. Yesu hakuwepo kule Garissa. Au anatumia sola mpaka ipate mionzi ya jua? Paa..............m.........fu kabisa
 
mbona waliomuua yesu hawakukutana na nguvu za yesu?

Hujui imani ya Kikristo. Post ya namna hii ndiyo inadhihirisha umbumbumbu katika imani ya Kikristo. Yesu alijitoa mwenyewe ili atukombor wanadamu. It is not easy to understand Christianity until you are one of them.
 
Ni vyema mkajadili mambo ya msingi bila kuingiza dini wala dhehebu si vyema jamani .....

Nakuunga mkono kwa kuwa kila upande unakazana kutukana kile wasichokijua kwenye imani za wenzao.
 
Hujui imani ya Kikristo. Post ya namna hii ndiyo inadhihirisha umbumbumbu katika imani ya Kikristo. Yesu alijitoa mwenyewe ili atukombor wanadamu. It is not easy to understand Christianity until you are one of them.
hata uislam uko hivyo huwezi kuuelewa hadi uwe miongoni mwao
 
Nakuunga mkono kwa kuwa kila upande unakazana kutukana kile wasichokijua kwenye imani za wenzao.

Hata kama watu wanatukana wasichokijua tunachojiuliza zaidi hapa ni kuwa INAKUWAJE HII DINI IMEWEKA KIPAUMBELE UGAIDI NA UKATILI? Mfano mke kuchelewesha kikombe cha kahawa ndio aadhibiwe hivi?
 
Attachments

  • 1428132844183.jpg
    1428132844183.jpg
    17 KB · Views: 218
Uzi wako umekaa kiuchochezi mno, mbaya zaidi umepata baadhi watu wa kucoment ambao hisia zao kama za kwako. maelezo na kichwa cha habari ni tofauti kabisa, hivi unajua kunusurika kwa rirasi wewe? Unadai mwenye taarifa zaidi azitoe. Kiherehere gani kinakutuma utoe taarifa ambayo huna uhakika nayo? Pengine huyo mtuanamiliki hiyo silaha kihalali, Hivi ni kosa kuingia na bastola kanisani kama unaimiliki kihalali
 
Hata kama watu wanatukana wasichokijua tunachojiuliza zaidi hapa ni kuwa INAKUWAJE HII DINI IMEWEKA KIPAUMBELE UGAIDI NA UKATILI? Mfano mke kuchelewesha kikombe cha kahawa ndio aadhibiwe hivi?

wew c mzma hayo n mambo bnafs maalbino wanauawa ktk jamii za wakristo,mbeya walichuna sn ngoz watu,vkongwe matukio meng ya kinyama yanatokea ktk christians populated areas.
 
hivi wale anti-baraka wa afrika ya kati walielewana na wenzao manake nao walishindwa kuvumilia ikawa jino kwa jino, naona kuko shwari sijasikia tena mamboya kuchinjana
 
Back
Top Bottom