Padre amjeruhi mpenzi

Kwanini wanazuiwa kuoa?
Mapadre wanaoingia kwenye utumishi wa Mungu wakiwa kweli na imani na wamevutwa na wito na kutafuta ukamilifu wapo wengi tu. Tunawafahamu walio waaminifu na wanaishi vema sana wakiwa waaminifu kwa useja wao, wapo wanaoishi kitakatifu na wanafanya uchungaji vizuri pia.

Wapo wachungaji/na viongozi wa dini nyingine wanaooa pia na kuanguka dhambini pia, hata dhambi za uzinzi na ubakaji. Au unataka nikupe mifano?

Kuoa au kutooa si kigezo cha kuwa waaminifu. Kigezo kikubwa ni kuwa kuna wengine wanaingia huko kama ajira tu wajikimu kimaisha huku wakiwa hawakiamini hicho wanachoishi. Hao wanakuwa na shida wakiwa kwenye dini yoyote ile.
ITEGAMATWI ameliona hili
 
Hawa jamaa ni hodari wa kusema fuata maneno yangu na si matendo yangu
 

Hajaoa...alikua na mahusiano ya siri mwshowe mimba..soma uelewe
 
 

hukubaliani nini?hbr haisemi kuwa kaoa bali alikuwa na mahusiano ya kingono na huyo ccta,mapadre wengi wana kashfa hizo ila ziko chini ya makapeti,wengine wana wtt wanawasomesha kabisa wanadai ni mayatima wanawasaidia,
 
 
 
Sasa hivi ananyea debe kibaha polisi kwa shambulio la kudhuru mwili.


Na huko kanisani Dodoma asirudi hata kwenda kuchukua vi-vest vyake; Askfu wake amfukuzie hukohuko Kibaha mahabusu alikohifadhiwa!!! Wanaishia kuwakwaza waumini wa madhehebu yao!! Padre kama huyo naye kesho unakuta ANAHUBIRI UMUHIMU WA FAMILIA NA UAMINIFU katika ndoa!!!!

Hivi huyo mpenzi wake siyo MKE WA MTU KWELI au MJANE??? Maana ndiyo target zao kubwa hawa wachunga kondoo wanapoamua kuanza KUWALA KONDOO...
 
Shida ya maisha ya Upadre bwana ni moja, akiharibu mmoja wote tunaonekana wabovu, wazinzi na wasiofaa. Jamani samaki mmoja akioza, mtoe umtupe wala si kwamba wote wameoza!!!!!!
 
Hii aibu kubwa sana...najiikia vibaya sana kukutana na habari kama hizi
 
Shida ya maisha ya Upadre bwana ni moja, akiharibu mmoja wote tunaonekana wabovu, wazinzi na wasiofaa. Jamani samaki mmoja akioza, mtoe umtupe wala si kwamba wote wameoza!!!!!!

He! Kumbe na wewe padre! Hongera kwa kuishi kiroho.
 
Sharti mojawapo ili uwe padri ni lazima dushelele iwe inadisa(kusimama)!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…