Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,348
- 62,350
- Thread starter
- #21
Sijaaema waislam wamekamilika ndo maana kuna toba na nimesema wanaomba toba moja kwa moja wao na Mungu wao , na imekatazwa mtu kufanya dhambi kisha akasimulia kwa watu wengine juu ya maovu yake, anachotakiwa kukifanya ni kujutia na kuomba toba bas.hii haimaanishi kuwa waislam ni wanyoofu kuliko wengine, jamii nzima iko sawa, hakuna iliyo bora kuliko nyingine, makosa yapo kila dini na imani ulimwenguni, unaambiwa shetani yupo duniani anazungukazunguka apate wafuasi wake wa kufanya ushetani