Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Kumekua na hali ya sintonfahamu kwenye mitandao ya kijamii, kuhusiana na kifo cha aliyekua mwanamitindo na mpambaji maarufu bongo, Herry Pacor Nasser maarufu kama Paco decor.
Mpaka sasa hakuna taarifa ya wazi kuhusiana na kifo chake kama alikua mgonjwa, au alikufa kwa ajali, ila inasemekana march 8 ambayo ilikua siku ya jana marehemu alikua phuket, Thailand, na inasemekana masaa machache tu baada ya kutua nchini humo ikatangazwa kuwa mjasiliamali huyo ameaga dunia.
Ukweli ni kwamba kijana huyo mwenye jinsia tata amefia Thailand ila kifo chake mpaka sasa bado hakijajulikana, tutaendelea kuwa update kuhusiana na kifo chake mpaka ukweli ujulikane
Mmbea wenu mtiifu warumi Heineser
Amefia Agakhan Dar, kule Instagram kumewaka moto kuhusu kifo chake. Mimi ndio namsikia leo?ni nani katika jamii maana mpaka Mange naye anamlilia.View attachment 328309
Kutoboa sikio is not an issue mkuu, Mbona Mungu hakukuleta na Nguo au upara ili usinyoe.Alikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.Alikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
Nimependa jibu lako, binadamu tunajisahau tunajua tu kunyoonyeshea wenzetu vidole. May he RIP, nilikuwa napenda alivyokuwa anapamba kwenye shughuli.Kutoboa sikio is not an issue mkuu, Mbona Mungu hakukuleta na Nguo au upara ili usinyoe.
Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.