PAC ilivyowajaza hasira wananchi

uhind::: mi nadhan waliohusika na escrow ulpata mgao....hata kama huelewi hata kusoma nyakati huwezi? tangu lini ushawahi kuckia CAG ameenda kumkagua bakhresa? CAG anahusika na vitu vya umma na kama fedha sio za umma kwnn aruhusiwe kuzkagua,??,??,
 
Sheria ya kodi ya ongozeko la thamani VAT iko wazi kwa kuwafanya wafanyabiashara wakubwa kuwa mawakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya TRA. IPTL alipeke invoice zake Tanesco zikiwa na VAT ndani yake na Tanesco alilipa invoice zile pamoja na VAT hivyo hii ilipeleka jukumu la kulipa VAT TRA kwa IPTL na CAG kwenye report yake ameweka wazi ni nani aliyekuwa na jukumu la kulipa kodi ile TRA. Kwangu mimi binafsi naona hapa PAC walipotosha umma sijui kwa lengo lipi na kwa faida ya nani.
Walipotosha vipi? Si waliweka wazi kwamba kulikuwa na sehemu ya serikali kwenye pesa ile?!
 
Chukua Chako Mapema. Haahaaa ushaingiza presa tayari kwa msnrno yasizidi hata 150. C..c....m...!!!!
 
Tanzania ni ya ajabu sana! Politicians(wote) hawapo in sync na maisha halisi ya Mtanzania. Mambo mengi tunayaweka kichama chama wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma muhimu. Ukweli ni kuwa politicians wote ni wezi! Kipimo ni level ya wizi wao. Leo hii, 50+yrs baada ya 'Uhuru' CCM ndio wameiba sana na kuwasahau wananchi. Pia wamesahau misingi iliyoijenga CCM tokea mwanzo. Kwamba chama ni cha Wakulima na wafanyakazi (Jembe na Nyundo). Leo hii hata haiihitaji mtu mwenye PhD kuona kuwa CCM haipo kwenye uhalisia wa hali za wananchi wa Tanzania. Wizi umezidi,rushwa, haki finyu za binadamu,lakini na bado tunatetea wezi.

Ukweli ni kwamba hata upinzani ukishika dola, watatumia the first 5 years kujijenga na kuweka mizizi. Then if we are really lucky wakipata miaka mingine 5 ndio tutaanza angalau kuona some signs(that remains a maybe). Politics ni upuuzi mtupu. Uongo mwingi na matendo machache. Tunasahau kuwa hata hao wanaotusaidia kwenye bajeti kila mwaka wanataka something in return. Tunajidanganya kuwa mtu anaweza kukupa dola milioni 600 kama zawadi bila ya kuwa na tegemeo hapo baadaye. If they want tembo watano,we will have to give them as a price of being dependent. Huwezi kununua nyanya ukategemea zitabadilika kuwa mayai wakati wa kuyala.

Having said all that, nadhani kutokana na ukweli kuwa CCM ndio wamekuwa madarakani for quite a while, ni vizuri tukawapatia watu wengine wajaribu angalau kutufikisha huko ambako hatupajui. Kama watatuibia kama CCM walivyoiba, sawa tu(we are used to it by now). Madaraka siyo ya milele. Tukubali changamoto.

Nawasilisha.
 
1. I bet you are educated with good exposure!

2. Umeituhumu CCM kwa wizi lakini hakuonyesha ni kwa vipi na kama tuhuma zako tuziamini.

3. Umeorodhesha matatizo mengi bila kuonyesha njia mbadala ya kuyapatia ufumbuzi.

4. Umemalizia mchango wako kwa kudhihirisha kukata tamaa. Unatushawishi tuwachague viongozi wa kuongoza taifa letu kwa mtindo wa majaribio. Pia umeridhia kuwa hao watakaochaguliwa watuibie kwa kuwa tumezoea kuibiwa. Bahati mbaya CCM umewatuhumu na bila kuwasikiliza ukawahukumu!

5. Umesahau kwamba, better the devil you know! Hao UKAWA ni nooma. Heri ya kubaki na vichaa tunaowajua kuliko mwendawazimu tusiyemjua.

6. Wakina Zito, Kafulila na wenzao wameonyesha rangi zao halisi za usaliti kwa nchi yetu wakati wa Bunge lilolomalizika kwa kuzusha uongo wa hatari ilhali wakiwa wanajua. Waliungwa Mkono na wapinzani karibia wote. Haya waliyafanya wakijua wanatumikia maslahi ya waliowatuma na matumbo yao.

7. Dhambi kubwa katika maisha ni kukata tamaa. Acha usiingie kwenye kutenda hiyo dhambi, IKATAE dhambi kwa kuwakataa UKAWA. Tuendelee na CCM yetu.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Mtu kama Zitto na Kafurira kuendelea kusema uongo nakuachiwa ni udhaifu mkubwa ambao kweli hauvumiliki na utaleta hasara na nchi kutotawaliwa...hivi hivi wapi vyombo vya dora....
 
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.

taarifa potofu? vipi ya PCCB na CAG? Mtahangaika sana mimi kama mwananchi nasema CCM wezi na wanalinda wezi mfano jk anavyomlinda muhongo huku nguvu kubwa ikitumika mitandaoni na magazeti uchwara kumsafisha muhongo na kuishambulia PAC kama wewe mleta post na pia kumshambulia Mengi na vyombo vyake vya habari. Lakini msivyojielewa wakati mnajitahidi kupotosha ukweli haya tayari yametokea kuonesha kuwa kazi mnayofanya ni sawa na kupanda ngazi kuulekea mbinguni
1. maswi kasimamishwa
2. tibaijuka out in cabinet
3. werema kajiuzuru
4. maafisa kadhaa tra watimuliwa
5. chenge ameachia nafasi yake ya uongozi ndani ya bunge
6. mwigulu amewaandikia barua wahusika walipe kodi kutokana na mgao waliopata.

KAMA PAC WAONGO HAYO MAAMUZI JUU KIVIPI YATOKEE????
TATIZO WANA CCM HUWA MNADHANI KILA MTU HAPA JF NI MJINGA KAMA NYIE NDIO MAANA MNAHANGAIKA KUSAFISHA WEZI
 
hili swala la pesa za umma au sio za umma ni kuwaondoa watu kwenye mada! hapa issue ni kuwa watumishi wa umma wamelipwa mabilioni ya pesa , Chenge 1.6, Mhongo 1.6 na Anna Tibaijuka 1.6 , je wamefanya biashara gani au wametoa consultancy gani kuwa na uhalali wa kupewa hayo mabilioni? na huo msururu wa watu wengine waliogawana pesa? kama zingekuwa si za umma na ni za mtu binafsi au mfanyabiashara kweli angeweza kugawa pesa yake bure? kuna mfanyabaishara gani anagawa pesa bongo niende na familia yangu kuchukua? zile pesa za Tegeta Escrow hazikuwa na mwenyewe (ni za umma) ndo maana watu waligawana na kubeba na viroba! pesa za umma bongo ni shamba la bibi!

1. Mbona umejichanganya mwenyewe? Umeanza kwamba "fedha ni za umma au siyo za umma ni kuwaondoa watu kwenye mada". Lakini hitimisho lako limekuwa "hazikuwa na mwenyewe (ni za umma)!

2. Mjadala wako umeuchanganya na kukosa kueleweka hasa ulichotaka kuongea ni kitu gani! Umetumia hisia zaidi ya kujenga hoja ili utushawishi tukuamini.

3. Hizi hisia siyo mpya na hazibadilishi ukweli kwamba fedha zilizokuwemo kwenye Tegeta Escrow Account zilikuwa siyo za UMMA.

4. Ukizungumzia kugawa fedha, bila shaka unamzungumzia Mkurugenzi wa VIP Engineering and Marketing Ltd., Fr. James Rugemalira, mtu aliyeuza hisa zake kwa njia halali kuliko maelezo, kwani mkataba wake uliridhiwa na Mahakama Kuu katika shauri la wazi.
4.1 Pamoja na kuuza hisa zake, akaweka masharti yaliyoridhiwa na mnunuzi ili kuhakikisha maslahi ya umma yanazingatiwa, ikiwa ni pamoja na (a) mmiliki mpya wa IPTL kupanua uzalishaji kutoka 100MW hadi 500MW ili kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa Umeme kwenye gridi ya Taifa. (b) kubadilisha mitambo kutoka kutumia mafuta mazito kwenda kwenye matumizi ya gesi asilia (rasilimali ambayo sasa tunayo hapa hapa nchini). Hatua ambayo itapunguza/ kukata kwa kiasi kikubwa gharama za uzalishaji na matumizi ya pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta mazito. (c) kupunguza/ kushusha gharama ya kuuza Umeme hadi kati ya senti za Dola ya Kimarekani kati ya Senti 6 mpaka Senti 8, kiwango ambacho kitaipatia TANESCO unafuu mkubwa na hata mpaka mtumiaji wa mwisho.

4.2 VIP Engineering and Marketing Ltd., ya Fr. James Rugemalira, ikaenda mbele ikalipa kodi ya (Capital Gains Tax) kiasi cha Sh. 38Bilioni TRA.

5. Kwa mtu yeyote MAKINI lazima aishangae sana Kamati ya Zito yaani PAC kama hayo mazuri yote haikuyaona! Na mshangao zaidi ni pale Zito na PAC walipohoji kwa nini bei ya umeme ishushwe na Mahakama Kuu! Huu wote ulikuwa ni upotoshaji mkubwa, wakijua kabisa hayo yalikuwa ni masharti ya VIP/Rugemalira kuuza hisa zake. Huu ndiyo ukweli mwingine unaodhihirisha Zito na genge lake hawakuwa wanazingatia maslahi ya taifa na UMMA kwa ujumla, bali maslahi ya waliokuwa wamewatuma.

6. Nipende tu kutoa RAI kwa Watanzania wenzangu kwamba tujaribu kuwa na subira kidogo. Tujizuie kuwa watu wa mkumbo. Tujadili mambo kwa nia ya kuangalia picha pana, tuwe "objective na siyo subjective". Hivi, kweli kwa hayo yaliyoekezwa hapo juu ambao ni ukweli mtupu ambao unaweza kwenda Mahakama Kuu ukaomba nakala ya maamuzi na TRA wakakupatia, na mengine yamo kwenye Ripoti ya CAG hatuweze kuona kwamba kila mmoja amenufaika au atanufaika kutokana na uuzaji wa share za VIP kwa njia moja au nyingine?

7. Kwa kuwa kila mmoja amenufaika au atanufaika kutokana na VIP/ Fr. James Rugemalira kuuza shares zake, kwa nini tunajiingiza kuangalia nani kanufaika zaidi? Je, tunafahamiana naye, kwamba tulikuwa tumewahi kumpelekea mapendekezo ya miradi tunayoifanya yenye uhitaji wa fedha kama alivyokuwa amefanya Mh. Prof. Anna Tibaijuka kwa mfano? Miradi ambayo bado inakwenda kusaidia watu wengi zaidi, kwa mfano elimu. Je, kuna ubishi kwamba msaada mkubwa kuliko unaoweza kumpatia binadamu ni elimu? Kama kuna atakayekataa basi huyo ni mtu wa aina yake.

8. Ninaamini tukijifikirisha kidogo baada ya kuyafahamu haya itaweza kutusaidia zaidi kumuangalia VIP/Fr. James Rugemalila kama Mtanzania mzalendo mwenye kuzingatia maslahi ya UMMA kuliko ambavyo imewahi kutokea. Pengine ndiyo maana wengi wetu bado tunamshangaa na hatujamuelewa! Yametokea kweli, tusiendelee kushangaa, tumuamini, tumuunge mkono, tusonge mbele maisha yaendelee. Fr. James Rugemalira ameweza kufanya watanzania wengine pia wawekezaji IGENI MFANO WAKE.
 
taarifa potofu? vipi ya PCCB na CAG? Mtahangaika sana mimi kama mwananchi nasema CCM wezi na wanalinda wezi mfano jk anavyomlinda muhongo huku nguvu kubwa ikitumika mitandaoni na magazeti uchwara kumsafisha muhongo na kuishambulia PAC kama wewe mleta post na pia kumshambulia Mengi na vyombo vyake vya habari. Lakini msivyojielewa wakati mnajitahidi kupotosha ukweli haya tayari yametokea kuonesha kuwa kazi mnayofanya ni sawa na kupanda ngazi kuulekea mbinguni
1. maswi kasimamishwa
2. tibaijuka out in cabinet
3. werema kajiuzuru
4. maafisa kadhaa tra watimuliwa
5. chenge ameachia nafasi yake ya uongozi ndani ya bunge
6. mwigulu amewaandikia barua wahusika walipe kodi kutokana na mgao waliopata.

KAMA PAC WAONGO HAYO MAAMUZI JUU KIVIPI YATOKEE????
TATIZO WANA CCM HUWA MNADHANI KILA MTU HAPA JF NI MJINGA KAMA NYIE NDIO MAANA MNAHANGAIKA KUSAFISHA WEZI

1. Ukijihusisha na ukaweza kuwa na upeo wa kuona mambo kwa upana, utakuwa huwezi kuandika na kujadili mambo kwa hisia kama ulivyofanya hapa. Usingeweza kufurahia matokeo ya nini kimefanyika yaani hizo hatua zilizochukuliwa kwani bado haujaweza kuelewa ni kwa nini umechukua msimamo huo! Bado haujatambua kwamba ulipewa propaganda chafu na ukaiamini.

2. Mapema leo, nimeandika kumkibu Bi Ngowi, ukisoma maelezo yangu hata wewe ninaamini yatakusaidia kuelewa.
 
1. Mbona umejichanganya mwenyewe? Umeanza kwamba "fedha ni za umma au siyo za umma ni kuwaondoa watu kwenye mada". Lakini hitimisho lako limekuwa "hazikuwa na mwenyewe (ni za umma)!

2. Mjadala wako umeuchanganya na kukosa kueleweka hasa ulichotaka kuongea ni kitu gani! Umetumia hisia zaidi ya kujenga hoja ili utushawishi tukuamini.

3. Hizi hisia siyo mpya na hazibadilishi ukweli kwamba fedha zilizokuwemo kwenye Tegeta Escrow Account zilikuwa siyo za UMMA.

4. Ukizungumzia kugawa fedha, bila shaka unamzungumzia Mkurugenzi wa VIP Engineering and Marketing Ltd., Fr. James Rugemalira, mtu aliyeuza hisa zake kwa njia halali kuliko maelezo, kwani mkataba wake uliridhiwa na Mahakama Kuu katika shauri la wazi.
4.1 Pamoja na kuuza hisa zake, akaweka masharti yaliyoridhiwa na mnunuzi ili kuhakikisha maslahi ya umma yanazingatiwa, ikiwa ni pamoja na (a) mmiliki mpya wa IPTL kupanua uzalishaji kutoka 100MW hadi 500MW ili kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa Umeme kwenye gridi ya Taifa. (b) kubadilisha mitambo kutoka kutumia mafuta mazito kwenda kwenye matumizi ya gesi asilia (rasilimali ambayo sasa tunayo hapa hapa nchini). Hatua ambayo itapunguza/ kukata kwa kiasi kikubwa gharama za uzalishaji na matumizi ya pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta mazito. (c) kupunguza/ kushusha gharama ya kuuza Umeme hadi kati ya senti za Dola ya Kimarekani kati ya Senti 6 mpaka Senti 8, kiwango ambacho kitaipatia TANESCO unafuu mkubwa na hata mpaka mtumiaji wa mwisho.

4.2 VIP Engineering and Marketing Ltd., ya Fr. James Rugemalira, ikaenda mbele ikalipa kodi ya (Capital Gains Tax) kiasi cha Sh. 38Bilioni TRA.

5. Kwa mtu yeyote MAKINI lazima aishangae sana Kamati ya Zito yaani PAC kama hayo mazuri yote haikuyaona! Na mshangao zaidi ni pale Zito na PAC walipohoji kwa nini bei ya umeme ishushwe na Mahakama Kuu! Huu wote ulikuwa ni upotoshaji mkubwa, wakijua kabisa hayo yalikuwa ni masharti ya VIP/Rugemalira kuuza hisa zake. Huu ndiyo ukweli mwingine unaodhihirisha Zito na genge lake hawakuwa wanazingatia maslahi ya taifa na UMMA kwa ujumla, bali maslahi ya waliokuwa wamewatuma.

6. Nipende tu kutoa RAI kwa Watanzania wenzangu kwamba tujaribu kuwa na subira kidogo. Tujizuie kuwa watu wa mkumbo. Tujadili mambo kwa nia ya kuangalia picha pana, tuwe "objective na siyo subjective". Hivi, kweli kwa hayo yaliyoekezwa hapo juu ambao ni ukweli mtupu ambao unaweza kwenda Mahakama Kuu ukaomba nakala ya maamuzi na TRA wakakupatia, na mengine yamo kwenye Ripoti ya CAG hatuweze kuona kwamba kila mmoja amenufaika au atanufaika kutokana na uuzaji wa share za VIP kwa njia moja au nyingine?

7. Kwa kuwa kila mmoja amenufaika au atanufaika kutokana na VIP/ Fr. James Rugemalira kuuza shares zake, kwa nini tunajiingiza kuangalia nani kanufaika zaidi? Je, tunafahamiana naye, kwamba tulikuwa tumewahi kumpelekea mapendekezo ya miradi tunayoifanya yenye uhitaji wa fedha kama alivyokuwa amefanya Mh. Prof. Anna Tibaijuka kwa mfano? Miradi ambayo bado inakwenda kusaidia watu wengi zaidi, kwa mfano elimu. Je, kuna ubishi kwamba msaada mkubwa kuliko unaoweza kumpatia binadamu ni elimu? Kama kuna atakayekataa basi huyo ni mtu wa aina yake.

8. Ninaamini tukijifikirisha kidogo baada ya kuyafahamu haya itaweza kutusaidia zaidi kumuangalia VIP/Fr. James Rugemalila kama Mtanzania mzalendo mwenye kuzingatia maslahi ya UMMA kuliko ambavyo imewahi kutokea. Pengine ndiyo maana wengi wetu bado tunamshangaa na hatujamuelewa! Yametokea kweli, tusiendelee kushangaa, tumuamini, tumuunge mkono, tusonge mbele maisha yaendelee. Fr. James Rugemalira ameweza kufanya watanzania wengine pia wawekezaji IGENI MFANO WAKE.

Mkuu, maelezo yako yanajitosheleza sana, na ni ya kina. Ni mwendawazimu tu anaweza kubisha facts hizi. Well done!
 
Ni wazi kwamba anachokifanya Zitto sasa ni uchochezi. Baada ya Rais kutamka wazi kwamba pesa zile kwenye Akaunti ya Escrow sio za umma, kwa nini yeye aendelee kuwatia hasira wananchi, ambao wengi wao hawaelewi undani wa suala hili? Huu ni uchochezi, tena wa hali ya juu.

yani we ukisikia Rais basi unakubali kila anachokisema, ma Rais wa kiafrika hawa katika maneno 100 ya ukweli 10 au unawaongelea wawapi ?
 
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.

Madhara ya kuacha kufikiri kwa kutumia kichwa na badala yake unafikiri kwa kutumia.........lio ndo haya.
 
Enyi wagalatia ni nani aliyewaroga? Waziri wa seekali kuingiZiwa BL.1.6 linawezaje kuwa jambo LA kawaida?
 
1. Umepewa nafasi ya buree, usome Ripoti ya CAG lakini inaelekea aidha hutaki au ni mvivu wa kusoma. Umeegemea kwa uliyoyasikia kutoka kwa Zito. Kwa mshangao kabisa, hata ufafanuzi alioutoa Mh. Rais, aliitumia Ripoti ya CAG bado nao hutaki kuelewa, mradi tu wewe ulimsikia Zito.

2. Walioitikia wito wakasoma hiyo Ripoti tunasoma maoni yao wanakubali Zito na PAC walitumia mbinu zao kwa maslahi ya waliowatuma na siyo kwa maslahi mapama ya umma. Idadi ya wajumbe na vyama vyao hapa siyo kigezo tosha cha kuhalalisha Ripoti ya PAC.

Maslahi mapana ya UMMA ni yapi hayo?????Kauli nyngine mnazitumia bila hata kujua sehemu stahiki,wangesema pesa sio za UMMA ndio maslahi mapana ya umma???????Hujitambui,hujasikia gavana wa USA behind bars kwa kula rushwa mil 300 tu a kibongo,hapa watu wanapiga bilions rais anachekacheka tu.Mkwepa kodi ni mhujumi uchumi,China watu kama hawa wananyongwa.Hapa watu wanalamba mpaka pesa yetu ya kodi,rais anacheka???wat a shame
 
1. Soma tena mara ya pili na ya tatu utaelewa kwa kuwa imeandikwa kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom