PAC ilivyowajaza hasira wananchi

PAC ilivyowajaza hasira wananchi

Taarifa ni ya zitto au PAC? Yaani wabongo sijui mnafikirije? Hovyo kabisa dada, acha upofu

1. Ungelikuwa taarifa nzuri ungelikuwa ni ya Bunge zima. Lakini kwa kuwa ina usanii mwingi inakuwa ni ya Zito.

2. Uongozi ni dhamana hiyo ndiyo maana yake. Ukiongoza unawajibika kuendesha mambo kwa umahiri mkubwa sana ili kufikia malengo kwa weledi na siyo kisanii.
 
Hii ni pesa ya umma wa Tz hakuna ambaye hajui hili na raisi ameshindwa kusema ukweli kwa sababu hata yeye anahusika kwenye huu mgawo na waziri mkuu,ndio maana walisema kuna watu walichukua pesa kwa kusaini tuu bila kuandika majina,nyie mnalalamika waliotajwa ni wale waliopewa ile B 3 tu je wale waliopewa ile B 70 wako wapi??hizi ni pesa za umma wa Tanzania wengi hivi sasa tuna akili timamu jamani
 
1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.

2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.

3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?

4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.
 
kumzonga zitto wakati ile ni kamati yenye watu zaidi ya 20 nikumwonea tuijadili kamati nzima na simtu mmoja
 
Fedha ya Escrow sio fedha ya umma na Mh Rais keshasema hapa kuna upotoshaji wa ukweli na Zitto na Kafurira wanakipwa na Watu wenye ugonvi na Kusema ukweli kwa Proff Mhongo na sio siri kuna watu walitaka favour katika issue ya vitalu vya gas na sasa wanatumia media wanazozimiliki kimchafua ...nawengine ni wanasheria ambao wameitetea Tanesco kwa kulipwa fedha nyingi kwa kupotosha umma sasa kukosa tenda hizo ndio hayo yote...wananchi tufunguke na tujue hasa mbaya wetu ni nani....ni wazawa wenzetu hao ambao tusipokuwa makini wataliangamiza Taifa letu...Hizo media na wanasheria wasio waaminifu kuwepo na namna ya kushuhurika nao.
 
Kamati ya BUNGE popote pale duniani huwa haidanganyi, PAC walisema kishujaa japo ukweli mwingine ZZK aliombwa na Mwandosya asiseme
 
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.

Wewe ni wakunyonga tu!! Huna faida yoyote huku dunian!!!!! Hujui hata ulichoandika! Mat.ako yako.......
 
1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.

2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.

3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?

4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.

We umejenga hoja gani hapa zaidi ya kutapatapa....!? Zitto hana ripoti, bali ni ya kamati ya PAC?! We kinachokufanya umuamin Kikwete na kukufanya uache kumwamini Zitto ni nini???? Unazungumza tu ila hushirikishi akili mkuu!
 
Kwa kweli hadi uchaguzi tutaona ma kusikia mengi hiyo fedha sio ya umma ..
Na kodi huyo Rugemalira leo anaidai TRA tax refund fedha kibao bilioni 20 plus....na Zitto bado anaendelwa kudanganya bunge na wananchi .jamani lets be focused .Standard Chartered Bank Honkong ni waongo na wanataka kukiibia Taifa hwajawahi kutoa hata sent tano kukopesha yeyote katika sakata hili la kutungwa....
Na sasa Ubalozi wao na wenzao wanashinikiza walipwe hela hewa na Bunge kubariki tufunguke na kukemea hayo Mabaya ambayo sasa yakilelewa tutaumia. TUTAFUTE VYANZO VYA MAPATO NA KUACHANA NA HAO WAFADHIRI. HUU UGONVI NI 1. MADARAKA URAISI 2.FEDHA WATU WAZAWA WANAITAKA UDALALI KATIKA OIL AND GAS 3.WAFADHALI KUTETEA MAKAMPUNI NA ORG ZAO HEWA 4.WANASHERIA WENYE UCHUNGU WA KUKATIWA MRIJA WAO KARIKA KESI ZA KUZUA NA KULIPWA FEDHA ZA BURE WANAJULIKANA.....
 
Tanesco ni mali ya umma 100%, malipo kwa kutokana na mkataba wa muda mrefu kati ya iptl na tanesco juu ya capacity charge tanesco wamekuwa wakizidishiwa, wamelalamikia hilo ikaonekana serikali iwe inazitunza (bot) hadi kama kupunjana kufutiliwe mahakamani na ieleweke. Hata bila capacity charge bila kulipwa watoa umeme hawana wanacho tatizika. Kama mamuzi ya mahakama hayajakaa vizuri pesa iliyowekwa inagawanywa. Hiyo sio pesa ya UMMA? . Tuwe objective.
 
1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.

2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.

3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?

4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.
napata shaka na ufamu wako na pia kama ni kujipendekeza umekithiri.swali la msingi ndani ya pesa ya escrow hakukuwa na kodi ya VAT?ukiita kodi huwa mali ya IPTL au umma?sijawahi kusikia daima kuwa kodi inageuka kuwa ya mtu binafsi badala ya kuwa mapato ya umma.
hivyo wewe na raisi wako ndo muache upotoshaji ,acheni akili za kihawa ghasia,unakuwa mjinga mpka kwenye ukweli
 
kama ZZK anapotosha umma, wanakamati wa ccm walikuwa wengi wangekataa ripoti, watu wamejiuzulu,wamefukuzwa, wameshtakiwa,leo hii unasema ZZK ndo anachochea? wewe ndo unachochea zaidi...
 
1. Mtu mwenye akili timamu kama unavyo jinasibu wewe, hawezi hata kidogo kuwatuhumu watu wengine.

2. Je, unao ushahidi wa kuwahusisha Rais na Waziri Mkuu.

3. Jenga hoja ambayo unaweza kutushawishi tukukubalie. Rais aliwasihi watanzania muisome taarifa ya CAG na yeye alipotoa ufafanuzi alitumia Ripoti hiyo hiyo kwa kutaja vifungu. Wewe unakuja na porojo nyepesi, unataka nani akuamini?

4. Wale wote ambao hamtaki kujenga hoja, ni bora mkakaa kimya, porojo zetu haziwezi kubadilisha msimamo alioutoa Rais. Yeye ndiye mwenye nchi. Kuendelea kumbishia na kumtuhumu Rais na watu wengine pasipokuwa na ushahidi wowote kwa kuamini propaganda za Zito na Kafulila ni utovu wa nidhamu tu.
Huna akili nzuri wewe, rushwa imekuwehusha
"Hatuwezi kusema yote vinginevyo serikali itaanguka" something like that was said by Mwakyembe (Richmond) na imerudiwa tena na Zito/Filikunjombe/Lisu (ESCROW)
"Akili za kuambiwa changanya na zako" - JK
 
Sio ya muhongo nje tibaijuka nje werema nje na Wengine mahakamanni
Tumia akili ulelema
 
Back
Top Bottom