P Square live in Dar - Leaders Club

Buku 35 nitoe mimi, halafu tathimini upewe wewe hehehe....
#NomaSana

Wadau mliokuwepo Leaders tunaomba muendelezo, tumwagieni TATHMINI ya shoo ya P-SQUARE kwa ajili ya kukamilisha uzi huu na kuweka kumbukumbu kamili.
Motto: JF kila kitu.
 
Jamaa wamelipwa Dola laki 2 Jaydee na prof J milioni 6 Kila mmoja..... Benpoul Milioni 4 na Joh makini milioni 3.... Wasanii wa Tanzania wana kazi kubwa sana ya kuongeza thamani yao..

hata hivyo ni hela nyingi,kwa level yao wamejitahidi sana
 

hahaa kwahiyo diamond ni hafahamiki kwa hawa jamaa?duuh underground wetu mweee..
 
wadau mliohudhuria show hiyo wenyewe waansema ya kufunga mwaka,mahudhurio ya watu aylikuwaje?response ya watu ilikuwaje pia
 
hahahahaha watu8 kwani na wewe ulikuwepo?
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha watu8 kwani na wewe ulikuwepo?

Mkuu nilienda one time kutoa ushamba....lakini vumbi la pale likanifanya niondoke zangu.
 
Last edited by a moderator:
Mnasikiliza miziki ya shetani inayowafanya watu wengi wamtumikie kwa kutenda dhambi... miziki inayochochea ngono, starehe na kutenda dhambi... kueni macho wengi hamta uona ufalme wa Mungu kwa ajili ya hii miziki ya kidunia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…