P Square live in Dar - Leaders Club

 
Last edited by a moderator:
#noonelikeU kuna watu nimefuatana nao hapa wanaimbiana lakini nimegundua kitu hawatazamani usoni yaani wanadanganyana #Full usanii!!
 
Nipo nimkochen naisikia beautiful onyenye live toka leaders
 
Nipo nimkochen naisikia beautiful onyenye live toka leaders

Jamaa ni noumah wasanii wa Bongo wana cha kujifunza kutoka kwa Psquare,kwanza jamaa ni ma superstar duniani lakini wanapiga show kwa energy kubwa zaidi ya masaa matatu(3)
Tukilinganisha na mfano hai kabisa Prof Jay kaimba nusu saa tu tena akiwa anasigana na Beat lakini kachoka mbayaaa hadi mwisho alikua ana bore hii yote ni kwa sababu ya low satisfative motive na wamezoea kutuibia kuimba playback Nyimbo 2 tu kisha wanachukua chao haoo...wanasepa that's why Ma bongoflavor they are too local na hawana perfomance stamina
 
Wadau mliokuwepo Leaders tunaomba muendelezo, tumwagieni TATHMINI ya shoo ya P-SQUARE kwa ajili ya kukamilisha uzi huu na kuweka kumbukumbu kamili.
Motto: JF kila kitu.
 
Na wewe ukishapanda kwenye dancing floor unakuwa kama umekodisha vile kwi kwi kwi kwi hutaki kabisa kuondoka ali mradi tu DJ anajua kuifanya kazi yake. Muziki wao kusema kweli ni bomba sana.


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…