Rwanda nje ya Kigali hakuna kitu utaonyeshwaKila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Hilo tusi la 'gentamaisini a.k.a dawa ya fungus' maana yake hana hoja!Ni jibu pia!
Wewe kakuambia nani kuwa wana megawati 100 tuKila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Heri tuLabda watatumia umeme wetu!
Maendeleo makubwa ya Rwanda yako mji mmoja tu wa Kigali
Rwanda ni kama mkoa wa Iringa tu. Hata kuifananisha na Mwanza ni kuukosea heahima mkoa wa MwanzaNdio vizuri kukaa na kujidanganya
Hivyo
Rwanda Tofauti na Kigali wapi kuna maendeleo
Mjibu hoja vizuri
Leo Hii Mpanda inapelekewa Umeme wa 100MW
Wakati nchi nzima ya Rwanda ina 100MW
Anzia haop acha mijisifa isio na Uhalisia
Mna akili kubwa za namna Gani ?heheheheh
Ngojeni wahutu wapatw upenyo tena hahahahah
Kule kwetu kwa mtogole hili ndo linaitwa chambo!
Akili za kuuwana kisa ukabisa..
Ni akili matako hizo !?
[emoji23][emoji23][emoji23] thats ma men 'jenta'Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Ndio vizuri kukaa na kujidanganya
Hivyo
Rwanda Tofauti na Kigali wapi kuna maendeleo
Mjibu hoja vizuri
Leo Hii Mpanda inapelekewa Umeme wa 100MW
Wakati nchi nzima ya Rwanda ina 100MW
Anzia haop acha mijisifa isio na Uhalisia
Kwa waliozidiwa IQ na mimi nimo Kaka?.wanatumia vipimo gani labda,mana Rwanda ata mkoa wa mbeya mkubwaHuna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Kwa waliozidiwa IQ na mimi nimo Kaka?.wanatumia vipimo gani labda,mana Rwanda ata mkoa wa mbeya mkubwa
Rwanda inakubwa wa eneo kilomita za mraba 40+k, mkoa wa 5 kwa Ukubwa tz Lindi una km2 44+k........Maendeleo makubwa ya Rwanda yako mji mmoja tu wa Kigali
Israel inaingia mara ngapi kwa Marekani? Je, kati ya Marekani na Israel nani ni Mbabe hasa Kivita na nani anamtegemea zaidi Mwenzake? Nasubiri jibu langu haraka sana Mkuu ili nijue nianze Kukudharau au nianze Kukuheshimu kuwa nawe umebahatika kuwa na Akili kubwa kama walizonazo Raia wa Rwanda na hasa hasa wa Kabila ' lililobarikiwa ' nae Maulana / Mola la Tutsi ( Watutsi )
Bwaaaaahhhh inaelekea slim akitangaza kukuoa utachekelea sanaHuna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.