Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,084 Sep 22, 2024 #1 Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,032 Reaction score 111,625 Sep 22, 2024 #2 Ally nsomali
Ma mbwa JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,386 Reaction score 3,451 Sep 22, 2024 #3 Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua?
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,084 Sep 22, 2024 Thread starter #4 Phdum said: Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua? Click to expand... Wakina Diamond na Babu Tale wanalo jibu hata Burna Boy naye anajua 🤣🤣🤣
Phdum said: Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua? Click to expand... Wakina Diamond na Babu Tale wanalo jibu hata Burna Boy naye anajua 🤣🤣🤣
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,084 Sep 22, 2024 Thread starter #5 Kwa kifupi usitamani maisha ya mtu hujui nyuma ya pazia kuna nini
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,294 Reaction score 51,915 Sep 22, 2024 #6 Mafuta ya watoto/mafuta ya binadam wachanga. Kuna mafuta ya alizeti, ya nazi, ya kondoo na kuna ya binadam
Mafuta ya watoto/mafuta ya binadam wachanga. Kuna mafuta ya alizeti, ya nazi, ya kondoo na kuna ya binadam
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,163 Reaction score 18,849 Sep 22, 2024 #7 Hiyo picha hapo mbona Kama imepikwa?