OYEEE! MzunguMndali nimerudi!!! Niliwamisije!!

Last edited by a moderator:
Karibu dogo, kwa sasa ukiguswa na unyasi utakuwa unastuka
 
Kupotea njia ndio kuijua! I hope umejifunza kuwa ndoto hubaki kitandani na siyo uende nayo mpaka kwenye keyboard. NIMEMALIZA.
 
Karibu sana MzunguMndali, umekamilika sasa nawe ni mjela jela mwenzangu............ mi nshaswekwa lupango mara nyingi sana mpaka nikakimbilia uhamishoni

Lakini mkuu Mungi,hadi huku uhamishoni BAN zimeanza kutembea,sasa sijui utajificha wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kupotea njia ndio kuijua! I hope umejifunza kuwa ndoto hubaki kitandani na siyo uende nayo mpaka kwenye keyboard. NIMEMALIZA.

unajua huwaga uko serious hata pasipohitajika
unanichanganya sana
 
ngoja niongee na wajeda wa JF wakutwange tena BAN nyingine...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…