Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Dah!
Baada ya kuswekwa lupango kwa wiki kadhaa,hatimaye MzunguMndali nimerudi ndani ya nyumba!!!
Kwa kweli niliwamiss sana akina Madame B Nicas Mtei cacico Filipo Mungi nitonye Arushaone na wengine.
Dah,kuota ndoto sometimes ni soo!

Last edited by a moderator: