meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Habari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !