Hao jamaa walinidaka Jumapili iliyopita tunavoenda Arusha, kiukweli nilikwazika ila wako sahihi ukiwa ndani ya 50kph mark ni lazima uende speed hiyo mpaka uimalize ila nje ya hapo ukiwa na private waeza gonga hadi 260kph kama gari yako inaruhusu hawatakuuliza. Ingawa kwa mabasi wana limit ya 80kph na wanapigwa tochi maporini hasa njia ya arusha na kwenda kushikwa mbele ya safari.Ndo ilivoandikwa kua nimezidi mkuu so walitakiwa waandikeje tena nimesumbuana nao sana ni mombo karibu na hoteli ya liverpool na kituo cha mafuta cha lake oil walijificha kwenye mti mi nimetokea mombo mjini naenda liverpool kula ndo npandishe katima kile kipori pale nipo 70 nikapigw tochi pale
Hahaaa kuna jamaa unapomaliza tu mlima kitonga huwa anajificha kwenye karavati basi nshamsomea na mwingine hapa Karibu na melela kwa wamasai wachoma nyama anajificha kwenye mbuyu imekula kwake hawa jamaa ukiwa mzoefu na njia hawakusumbui,ila ukipinduka urudi kuandika sledi....Kama wazee wanapima vijana kwa kipimo walichopimiwa wao then kiwango kimeshuka, kama vijana wanaopata elimu wanaona wenyewe kuwa inawasaidia then hakijashuka.
Japo si mzee wala kijana najua kuwa watu wanakuwa wabinafsi zaidi kadiri siku zinavyoendelea. Asipotokea mtu wa kureverse hii (hopefully JK) tunaishia pabaya very soon.
Tatizo la elimu kama lipo kwa nini halishughulikiwi? Ina maana hakuna wataalamu? Mbona kila siku wanasomeshwa?
Tunasomesha wataalamu wengi sana hatutakiwi kuwa na sector isiyokuwa na wataalamu WA KUSOLVE PROBLEMS. Sio kuandika mada.
Ni aibu kuzuzungumzia hili jambo miaka nenda rudi.
Let us do it, find a solution and stick to it.
Habari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !
Nazijua sana tu...issue iliyopo ni moja tu...kwenye ike notification hakuna kosa tajwa la overspeed kwa private car!Mleta mada*
umeanza kuendesha gari mwaka gani?
Ulijifundishia wapi?
Unayo valid driving license?
Walikufundisha sheria za Barabarani huko ulikojifundishia gari?
hebu share hizo techniquesKwa wenye Smartphone hao Traffic Officers wenye Tourch utawaona hata wajifiche kwenye Handaki kama unataka kuwaepuka na unataka ku-over-speed ila ukipinduka na ki-Starlet chako utalipa faini Mbinguni
No kama Kuna kibao cha alama ukavunja basi unakosa, kama sio makazi na wewe ukaoverspeed I mean over 80km/hr. Hapo ni utashi wako Lakini kukiwa na kibao cha amri huna ujanja, kile cha kukushauri unaweka ukavunja Lakini ukikosea imekula kwakoHata mimi kaka juzi wamenifanya vibaya kule Mara wameweka vibao vya 50kp/h kwenye miteremko karibu yote na hasa Trm wapiga kamera wanajificha kwny madaraja.
No kama Kuna kibao cha alama ukavunja basi unakosa, kama sio makazi na wewe ukaoverspeed I mean over 80km/hr. Hapo ni utashi wako Lakini kukiwa na kibao cha amri huna ujanja, kile cha kukushauri unaweka ukavunja Lakini ukikosea imekula kwako
Umesema kweli. Mimi huwa natumia app ya Be On Road kufahamu waliko na tochi zao.Kwa wenye Smartphone hao Traffic Officers wenye Tourch utawaona hata wajifiche kwenye Handaki kama unataka kuwaepuka na unataka ku-over-speed ila ukipinduka na ki-Starlet chako utalipa faini Mbinguni