Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,606
- 13,472
Piga puli 😂
Huyu ni French lady ukweli ni bandidu sana ila bado nakomaa nae!Louise alikuwa anatoa ushirikiano lucie badindu 😀 eti no plan am not going out huyu ulishawahi kumzingua nn
Puli hapana mkuu😅Piga puli 😂
😂😂😂Puli hapana mkuu😅
Unaonekana mzoefu sana😂😂😂
Ukipiga zako puli ukapata viwili vya bure. Unapata usingizi wako saaafii. Full amani tena umerelax. Wanawake unaona kama takataka 😂
Huku ni mwenyeji sana, waTz hamna wengi ni Nigerians!Upo nchi gani? Tafuta wana jf waliopo huko.
Asije kusingizia tu umembakaHuyu ni French lady ukweli ni bandidu sana ila bado nakomaa nae!
Si uliona sisi tutafaidi....mwakampya utaanza na nyeto.MweeNipo nchi za watu, View attachment 2464389View attachment 2464388Leo kila nikijaribu kuomba outing na watoto wa kizungu zinagonga mwamba!..what a bad day😩 kuishi mbali na home ni shida sana.
Majukumu tu yamenileta huku mkuu!...mbaya zaidi baridi kali sana😩Si uliona sisi tutafaidi....mwakampya utaanza na nyeto.Mwee
Oo sorry😔Majukumu tu yamenileta huku mkuu!...mbaya zaidi baridi kali sana😩
Baharia anatuangusha😀😀😀Sasa Mkubwa uzembe wako wa kushawishi ndio unahitimisha outing zimegoma?
Kama huyo Lucie kwanini haujamkomalia? Wa kwanza amekupatia sababu Yuko na family wamemtembelea, huyo wapili Je?
Pambana, ukachakateeMajukumu tu yamenileta huku mkuu!...mbaya zaidi baridi kali sana😩
Siwaangushi wakuu nipo makini sana!Baharia anatuangusha😀😀😀
Sawaa, tunangojea kwenye kula kimasihara kule😀😀😀😀S
Siwaangushi wakuu nipo makini sana!
Nacheka mimiSasa chukua bendera ya taifa, iweke mbele Yako, huku ukiwa unaitazama jipige kifuani sema Mimi ni kijana wa kitanzania na hii ndio tasnia tunafanya vizuri.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa chukua bendera ya taifa, iweke mbele Yako, huku ukiwa unaitazama jipige kifuani sema Mimi ni kijana wa kitanzania na hii ndio tasnia tunafanya vizuri.
Nitaleta mrejesho mkuu!Sawaa, tunangojea kwenye kula kimasihara kule😀😀😀😀