Outing zinasaidia

Outing zinasaidia

Niko ugenini hapa kwa wkend na chura matata tunapata moja mbili tatu...huku tukiutukuza uumbaji wa muumba;leo ni kazi moja tu kula,kunywa na kuchezea mashine.Na hii baridi ya huku si mchezo.Mara moja moja kutoka si mbaya,sio muda wote kuwa siriazi kwa utafutaji wakati pesa hazijai.
Hongera kiongozi, ila weka mahali hii kitu uenda ikakusaidia kama sio leo bas hapo mbeleni
[emoji116][emoji116]

'Kuna maambukizi mapya ya HIV 200 kwa siku hapa nchini'
 
Hongera kiongozi, ila weka mahali hii kitu uenda ikakusaidia kama sio leo bas hapo mbeleni
[emoji116][emoji116]

'Kuna maambukizi mapya ya HIV 200 kwa siku hapa nchini'
ha ha ha ha ha we acha tu kuna kisukari,kansa, n.k cha muhimu ni kuishi miaka 80 kama muumba atajalia.
 
Back
Top Bottom