Outing zinasaidia

Outing zinasaidia

Ajabu ya JF tunaweza kuwa wote na mleta mada hadi usiku wa manane

Asa sijui mashine ataichezea huku umeshika simu
ha ha ha nimeshapiga vitatu mkuu....sasa hivi ni mapumziko,karibu tupate maji ya dhahabu
 
😂😂😂
Halafu unaweza kuwa zako ghetto muda huu na simu yako huna uhakika hata hivyo vitatu utavipigia kwa nani 😂😂😂
ha ha ha ningeweka video hapa ila nawasi wasi unaweza ukalowana,pia sheria za mtandao haziruhusu
 
Back
Top Bottom