Osama na Viagra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Osama na Viagra

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkwaruzo, May 10, 2011.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika repoti zinazoendelea kutoka kumuhusu Osama, moja inasema hivi "YAGUNDULIKA OSAMA ALIKUWA ANATUMIA VIAGRA KUIMARISHA UHUSIANO NA WAKE ZAKE".
  Suali nililonalo juu ya hili, uhusiano unaweza kuimarika kwa muendelezo wa matumizi ya viagra?
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tendo la ndoa in muhimu sana katika kuimarisha ndoa. Kama tendo hili halifanyiki ipasavyo, husababisha uaminifu kupotea. Hivyo ndugu yetu Asama alilijua hilo na kwa kuwa alikuwa na wanawake wengi option pekee ilikuwa hiyo.
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Has ukizingatia kuwa Osama alikuwa very busy na maswala ya kupigana na waislamu, it was obvious kwamba hakuwa na muda wa ku chat na wake zake. Hivyo basi, viagara is the best option, bear in mind that if you keep a dog, you must give what the dog eats!!!


  nasikia hata Obacha alikufa akiwa na dose ya viagra........
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ooops... kupigana na WAMEREKANI
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Mkwaruzo kweli umeamua... Perspective yangu Naona kama Viagra ilitengenezwa speacially kwa ajili ya watu wazima sana na wale wachache wadhaifu..kutokana na mapenzi (sex) kua ya muhimu sana katika mahusiano afya/hali za parts zinazohusika ni muhimu saana. Hata hivyo naona kama mwanaume anapo kua na tatizo la kushindwa kum command junior au anapokua na nguvu ndogo first stages ni bora kum consult mtaalam wa medicine na pia hata anaehusiana na mambo ya psychology... Hayo yakishindikana ndo nafikiri Viagra inachukua mkondo wake ... In the case of Osama (am not sure ni kweli alikua anatumia) inawezekana maana waarabu wanapenda sana kuprove kwa kwake zao kua wao ni lijali...

  Ila warning ni kwa wale wanaume ambao naturaly kazaliwa kua hata ajitahidi namna gani yeye anaishia kucheza michezo miwili au mmoja, huo ni bora akatafuta a lady ambae nae ashiki yake iko low mana akiwa na the opposite ndo inapelekea kutumia V - na akitumia from a young age then unakuka kafika 45 mpaka afanikiwe kum command junior kaji overdose....
   
 6. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Origin ya viagra ni dawa ya kumuongezea mgonjwa mapigo ya moyo. Pale mtu anapoitumia, moyo hufanya kazi ya ziada ya kusukuma damu na kuiruhusu kufika kwa wingi kwa mzee mzima na kumfanya asimame. Hapo then ndiyo iliboreshwa kwaajili ya kusex.
  Hivyo ndivyo ninavzojua mimi.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Mkwaruzo before zijazungumzia kitu hasa cha medical or science nacheki kwanza kama sijui, thread yako inahusu Viagra kuitumia katika sex hivyo niliona ni stick katika hilo - kungekua na umuhimu wa kugusia ni why ilitengeneza kwa mara ya kwanza believe me ningegusia hilo... Thread yako iko kutaka kujua nafasi ya V katika kuimarisha kwa uhusiano/ndoa... Na nashanga kua it is your thread na wewe ni a guy ambae najua juu ya hili unatambua kuliko hata mimi... I was hoping ungeniambia wapi nimekosea na wapi nirekebishe ili nipate ujuzi zaida na infor zaidi katika the whole issue ya V katika sex na mahusiano....
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mh, sawa nimetoka nje ya point.
  Ni wazi kuwa msafiri ni yule aliye bandarini.
  Kwa wale wanaoekeana masharti ya kutumia condom kila wanapofanya sex, sometimez hujikuta haiwezekani kwasababu tu ya kutokuwa nazo.
  Sasa tukirejea ktk V, ni wazi kuwa mtu hawezi kuwa na dawa 24 7, hivyo sijuwi huwo uimara utatokea wapi ktk mapenzi iwapo nyenzo husika baadhi ya muda inakosekana.
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mambo ya ngono bwana, mtu yuko bize na ugaidi unaweza dhani hafanyagi
   
 10. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hichi kitu hakina shekhe wala mchungaji, inabaki jinsi ya kukifikia tu kulingana na mhusika yupo ktk kundi gani
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  mi nawashangaa tu hawa wenzangu,yaani unawezaje kumtamani kingono osama?kweli pesa sabuni ya roho.
   
 12. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Laiti ungejuwa kwa kina mapenzi yalivyo, usingeliweza kuuliza suali hili.

   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaahah lol
  dahhhh haya bwana ..
   
 14. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni kweli lakini hawa watu wqaongo na wanafki sana! Wanakata mdomoni lakini moyoni wako kinyume sana, pia ni wafiraji wakibwa duniani wakisingizia kiwa na imani kali! Unafiki mtupu
   
Loading...