Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Vurugu za mabadiliko yanayoendelea mashariki ya kati yanampa nafasi kubwa kiongozi wa waislamu sheikh Osama bin Laden kuchukua madaraka huko mashariki ya kati hivi karibuni.
Tunisia kiongozi wa waislamu sheikh Rashid Alghanouch amerejea nchini kufuatia kupinduliwa kwa kipenzi cha nchi za Magharibi ,dikteta Ben Ali.Kule Misri chama cha Muslim Brotherhood mpaka sasa kimeweza kuwafungua magerezani wanachama wake wote waliokuwa wameshikiliwa na dikteta Mubarak.Lebanon chama cha Hizbullah ndicho kinachoendesha serikali.
Yemen na kwengineko wako mbioni kuondosha vibaraka wa nchi za magharibi.Tunasubiri utawala mpya wa sheikh Osama.:clap2: