Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Mmarekani ana maigizo mengi tu haya kwenda mwezini miaka ya 60 alipiga picha area 51 kule Nevada desert akaiaminisha duniya kuwa amekanyaga mwezini yote hii ni kutafuta hegemonysm waliosoma ir watanielewa.

Watu wa JF ni hulka yao kubishia lolote lile! Hata wasilolijua, ili mradi tu mtu naye aonekane yumo....

Nadhani wengi hawatakuelewa bro kutokana na kautamaduni ka kupenda kubishia kila jambo.

Kuna mambo mengi sana America ameidanganya hii dunia na watu wameuamini uongo wake.

Haya ni baadhi ya mambo ambayi america ameudanganya ulimwengu.
1. Kutua mwezini (kipindi cha vita baridi kati ya US na Russia) mchezo woote huu umefanyiwa Area 51( kambi ya kijeshi inayolindwa zaidi ulimwenguni.
2. WTC booming, hii ilikuwa ni inside job ambayo ilitengenezwa vizuuuri na ma-economic assassins wakishirikiana na CIA/FBI.
3. Kuaminisha dunia kama A. Hitler ndiye the most blutal dictator ever lived, na kumuacha mshirika wake wa wakati huo J. Stalin, hii waliifanya kwa kushirikiana na washirika wao wakuu uingereza.

Na list zaidi ingia kwenye vitabu na journal mbalimbali, investigation journals. Propaganda hizi wanazieneza intelligently mpaka mtu anazikubali pasipokujua kuwa yuko katika mkondo usio sahihi
 
Tatizo waislam wanaona aibu jinsi waislam wenzao (magaidi) wanavyoiaibisha dini yao...sasa ili kuivunja hio aibu wanasingizia hao magaidi wanatumwa na us.... kwanini us atumie magaidi kwaajili ya kuwaua wananchi wake mwenyewe,je nikwaajili ya kuuchafua uislam...ok baada ya kuuchafua uislam atafaidika na nini kiuchumi au kisiasa?...je kwanini hajatumia huo ugaidi kuwachafua wachina au russia ambao ni maasimu wake wakubwa haswa kiuchumi....nani asiyejua kuwa waislam kitabu chao sehem kubwa wanafundishwa kuua ua tu...hata hapa bongo silaha zimekutwa malangapi kwenye miskiti!....watu wanawaza kuvumbua masayari huko na mateknolojia ya ajabu nyie mnaangaika na stori za dini dini dini
 
Mimi manzese wewe Marekani na bado kuna watu huko wanasema ajafa wewe ulikutana na mke wake akakwambia kuwa nimewaona wanammiminia risasi?au basi na wewe ulipata google youtube na documentary za BBC??pevuka usiwaamini wamarekani kupitiliza hata cinema unaona ni matukio ya kweli??

Akili yako fupi kama pua yako
 
Edward Snowden mwenyewe ni project ya Marekani.
Walimtengeneza na kuandaa mazingira hayo ya kutoroka ili ashobokewe na nchi kama China na Russia wamuamini kwa kumhoji ili angalau kuoitia mahojiano hayo waweze kufahamu Russia or China wanawaza nini na hapo wangeweza kutafsiri aina ya secrete projects zinazoendelea katika nchi hizo.
Bahati mbaya kwao ni kuwa zaidi ya kupew hifadhi na kumficha jamaa hawajawahi kujishughulisha kumhoji...wanemuacha tu na kumuambia akijisikia kurudi kwao Marekani arudi tu.
 
Tatizo waislam wanaona aibu jinsi waislam wenzao (magaidi) wanavyoiaibisha dini yao...sasa ili kuivunja hio aibu wanasingizia hao magaidi wanatumwa na us.... kwanini us atumie magaidi kwaajili ya kuwaua wananchi wake mwenyewe,je nikwaajili ya kuuchafua uislam...ok baada ya kuuchafua uislam atafaidika na nini kiuchumi au kisiasa?...je kwanini hajatumia huo ugaidi kuwachafua wachina au russia ambao ni maasimu wake wakubwa haswa kiuchumi....nani asiyejua kuwa waislam kitabu chao sehem kubwa wanafundishwa kuua ua tu...hata hapa bongo silaha zimekutwa malangapi kwenye miskiti!....watu wanawaza kuvumbua masayari huko na mateknolojia ya ajabu nyie mnaangaika na stori za dini dini dini
Ila mkuu bila kuwa na hisia za udini kuna article moja niliisoma kuhusu 9/11 ni mpango mahususu uliosukwa na utawala wa george bush ndivyo ilivyoeleza sitaki kuamini sana lakini yawezekana ikawa hivyo!
 
magaidi wote wa kiarabu wako kwenye payrol ya white house
 
Waislamu kwa kujifariji mko juu, yaani Osama kaliwa na samaki Siku nyingi, nyie bado mnajitutumua eti mzima ebu kuweni na aibu, hivi mnaweza kumleta hadharani huyo Osama na kuudhihirishia ulimwengu kuwa yu hai?,evi mnapata faida gani kwa uwepo wake ama kutokuwepo kwake,? Tatizo lenu mnaamini kuwa ghaidi hawezi kamatwa ama kuuwawa.
 
Ndugu wao waliingia na chopper usiku zilikuwa zinapaa chini ya kiwango cha radar detection kwa hivyo calculations zao ni kwamba muda waliokuwa nao ni wakati wa kutua mpaka jeshi litakapofika kwa hesabu zao na mission ilikuwa ni ya muda mfupi walishafanya physical simulation exercise ya nyumba, vyumba na askari wenyewe awakujua target ni nani mpaka usiku wakazi; hesabu zilikuwa timed how long kabla awajafikiwa.

Kwenye documentary kuna commentary ya Obama, CIA chief operations officer na video nzima za tukio lenyewe. Mbona wake zake awakufa wala watoto wapo wanaweza toa ushahidi ni kitu gani kilitokea wao waliuwa walinzi wake tu; sio kwamba kila kitu siri kuna ushahidi wa kutosha jinsi alivyouwa na maiti yake, kuna watu waliokuwemo na kupona, ushahidi wa majirani na serikari ya Pakistan kulalamika marekani kuingia nchini kwao bila ya kibali.
Mind control katika ubora wake,
 
Wengine tulilijua hili muda mrefu tu.Kuhusu ukweli wa taarifa ya Snowden,mojawapo ya kigezo cha kutumia ili kudadavua hili ni kufuatilia kama source ni BBC,CNN,SKYNEWS,FOX NEWS,ABC and the like,au kama media hizo nilizozitaja zitatangaza habari hiyo hata kama source ni media iliyo nje ya umiliki wa 'the dark government'/illuminati.

Sadam alipokamatwa,tuliona wakati akinyongwa, hata kama picha yake ilikuwa feki lakini tuliona.Osama alitupwa baharini eti wafuasi wake wasiende kumsujudia,ha ha haa.CIA wako smart sana,lakini kwa hili wamechemka.Wamechemka pia kwa WTC,kwenda mwezini,ISIS na mengine mengi tu.
 
Ila mkuu bila kuwa na hisia za udini kuna article moja niliisoma kuhusu 9/11 ni mpango mahususu uliosukwa na utawala wa george bush ndivyo ilivyoeleza sitaki kuamini sana lakini yawezekana ikawa hivyo!

Hiyo article unauhakika nayo kwa kiasi gani maana hata mimi naweza kutengeneza uzushi nikauweka kwenye net nikasema ya Obama.

Geoge bush aliingia iraq kwa sababu 2..
1.kuidhoofisha iraq ili achukue mafuta ,na kukontroo soko lake kikoloni

2.kuitawala (neo colonialism) kama zinavotawaliwa nchi kama tz, kenya nk..

3.kupunguza kiburi cha waarabu kutokana na kumiliki bidhaa adhim ya mafuta,ili waache kutegemea mafuta na badala yake wawategeemee wao..

So sio swala la kupigana na uislam hapo ni mambo ya kiuchumi
 
Tatizo waislam wanaona aibu jinsi waislam wenzao (magaidi) wanavyoiaibisha dini yao...sasa ili kuivunja hio aibu wanasingizia hao magaidi wanatumwa na us.... kwanini us atumie magaidi kwaajili ya kuwaua wananchi wake mwenyewe,je nikwaajili ya kuuchafua uislam...ok baada ya kuuchafua uislam atafaidika na nini kiuchumi au kisiasa?...je kwanini hajatumia huo ugaidi kuwachafua wachina au russia ambao ni maasimu wake wakubwa haswa kiuchumi....nani asiyejua kuwa waislam kitabu chao sehem kubwa wanafundishwa kuua ua tu...hata hapa bongo silaha zimekutwa malangapi kwenye miskiti!....watu wanawaza kuvumbua masayari huko na mateknolojia ya ajabu nyie mnaangaika na stori za dini dini dini

Snowden aliyesema Osama hajafa ni muislam? Fikiria kwa kutumia kichwa siyo matako.
 
Snowden aliyesema Osama hajafa ni muislam? Fikiria kwa kutumia kichwa siyo matako.

Unauhakika gani na hizo taarifa kweli zinatoka kwa snowden mwenyewe ,source ya hizo taari ni kwenye mitandao,si kutoka bbc,cnn wala rt ya russia ambao ni maasim wa us...hata kama ni zake kwanini uziamini zake na si za us,siku zote alikuwa wapi hakuasema na je si taarifa za kutunga kwaajili ya kuichafua us?
 
Osama Bin Laden killed: Inside the raid: http://youtu.be/OA4enAfq8zs

Tatizo la hawa wamarekani ni waongo tena sana,hebu tujiulize this question: Hakuna shaka kuwa wamarekani wanapenda sana sifa na kujionyesha ni wenye nguvu kijeshi ulimwenguni,na wamemtafuta sana OSAMA huyo miaka kibao,sasa itakuwaje wasimkamate akiwa hai! ikiwa wanauwezo kweli kijeshi ulimwenguni ((maana kumuuwa mtu na kushindwa kumkamata akiwa hai huo unaweza kuwa ni udhaifu wako kijeshi na si kumuuwa sio dalili ya nguvu kijeshi bali kumkamata akiwa hai ndio inaweza kuwa dalili ya nguvu uliyonayo)) Na huo mwili wake baada ya kumuuwa Kwanini hawakuuchukua kwao marekani ili wamarekani waone kuwa huyu ndiye aliyeshusha majengo mawili mapacha?
 
Back
Top Bottom