Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Think free, isitizame jambo baada ya kujifunga kitambaa cha dini usoni, hautapata jibu sahh..I believe ungekuwa mpagani ungesema osama kafa

Kwa hio walisema Osama kafa wote wapagani?
We kijana Unapuliza majani gani? Au ya mihogo michungu.?
 
Viongozi wangapi wa bokoharam somalia wameuliwa na ndege za marekani ,na maiti hazijaoneshwa ,na bado boko haram wakakiri kuwa hao watu kweli wamekufA?..sasa wewe kaa na upuuzi wako wa kuamini mtu kufa lazima uione maiti yake...baati mbaya wazungu hawafanyi maswala hayo yao kishabiki eti kukuaminisha kweli fulani kafa...huo ni ujinga wa waafrika na waarabu
We mtoto hapa tunaongelea Number 1 wanted man in this planet.
Hao bokoharamu au banyamulenge we unawajua hata majina yao?

Jiulize swali moja dogo tu.

Kwanini hao US wafiche maiti ya mtu aliyekuwa akitafutwa Dunia nzima na aliyedaiwa kusababisha mauwaji ya ma alfu ya Watu?

Na Ktk historia Umeshawahi kusikia GAIDI Mkubwa Duniani Ikafichwa maiti yake baada ya KUUAWA?

Jicho kubwa ka ngumi akili karanga.

Teh te teh.

Watu km nyie kwa utumbo mnaoandika humu mlitakiwa kupigwa Faini.

We una habari asilimia 86% ya Wamatekani hawaaminj km Osama kafa? Au kazi kusoma magazeti ya Mipasho tu.!
Ovyo sana .
 
osama alishakufa tangia abotabad incident,hizi nyingine ni ztory tu za kufurahisha bazara
 
Walituaminisha serikali ya Obama imemuua ili tuiamini kama tunavyoaminishwa makontena yamekamatwa ili tuiamini serikali /danganya toto
 
We mtoto hapa tunaongelea Number 1 wanted man in this planet.
Hao bokoharamu au banyamulenge we unawajua hata majina yao?

Jiulize swali moja dogo tu.

Kwanini hao US wafiche maiti ya mtu aliyekuwa akitafutwa Dunia nzima na aliyedaiwa kusababisha mauwaji ya ma alfu ya Watu?

Na Ktk historia Umeshawahi kusikia GAIDI Mkubwa Duniani Ikafichwa maiti yake baada ya KUUAWA?

Jicho kubwa ka ngumi akili karanga.

Teh te teh.

Watu km nyie kwa utumbo mnaoandika humu mlitakiwa kupigwa Faini.

We una habari asilimia 86% ya Wamatekani hawaaminj km Osama kafa? Au kazi kusoma magazeti ya Mipasho tu.!
Ovyo sana .

"Asilimia 86 ya WAMATEKANI"

Wamatekani ni raia wa Nchi gani Mkuu kahtaan?
Matukio ya kigaidi yanayohusishwa na OSAMA ni False Flag operations tu.Osama amekufa na huo ndiyo ukweli.
 
Last edited by a moderator:
"Asilimia 86 ya WAMATEKANI"

Wamatekani ni raia wa Nchi gani Mkuu kahtaan?
Matukio ya kigaidi yanayohusishwa na OSAMA ni False Flag operations tu.Osama amekufa na huo ndiyo ukweli.
Unajiona una busara kwa ku pick typing errors?
Nimekudharau kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka unaota mchana. Yani maneno yako uliyasema ni sawa na maneno mtume mhamadi ayesema miili ya manabii haozi.
 
Du hii kwa kweli m sina upande kwamba alikufa au yuko hai!?
 
Inawezekana ikawa kweli maana Osama na Obama ni ndugu tofauti yao ni hapo kwenye sa na ba
 
Hiyo site inaandika story za kutunga angalia disclaimer waliyoieka hapo chini ili wasiweze kushtakiwa.
 
Back
Top Bottom