Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

mwambie kuwa ktk. kundi lolote lile, ndani
yake kuna makundi yanayopingana. ni kawaida. mueleze ndani ya ccm liko kundi la el na ndilo kubwa, liko la sita na liko jingine dogo alimotoka jpm. muelezee migongano ndani ya ccm na kwanini baadhi wanampinga jpm. bila shaka nae atakueleza upinzani anaoupata ndani ya al qaeda. mtakubaliana kwamba hakuna cha ajabu jpm kupingwa na baadhi ya wana ccm. au huijui ccm?

Hasisahau kumwabia kuwa ata chadema baada ya kukosa ngazi ya URAIS na Magufuri kuibuka kidedea na wao wanakakundi kao wanalalama eti anawaibia ilani yao ya kupinga UFISADI na anafukuza wabadhilifu.....na sio kufuata misingi ya utawala bora
 
Hii naomba iwasilishwe bunge LA 11 ili waijadili kwa kina!!
 
Osama kashakufa hadi siku anakamatwa kuna baadhi ya channel moja kwenye dstv walionyesha na watoto wake wenyew wamekiri kwamba baba amekufa pamoja na mkewe

Kuna taarifa ?yingine zinazotolewa na vyombo vya habari ya magharibi ni taarifa za kutengeneza!! wanatengeneza taarifa ndiyo wanazirusha hewani ili kutuaminisha uongo wao hiyo ni program yao inaitwa MIND CONTROL
 
Edward Snowden bado anatafuta kuaminiwa na Urusi kwa faida ya Marekani
^^
 
Comp-1_3456001.jpg




Edward Snowden said that he has evidence showing that Osama bin Laden is still alive and well.
In an interview to the Moscow Tribune, Snowden said Osama was living in the Bahamas, on the payroll of the CIA.
Snowden told the newspaper, ?I have documents showing that Bin Laden is still on the CIA?s payroll. He is still receiving more than $100,000 a month, which are being transferred through some front businesses and organizations, directly to his Nassau bank account. I am not certain where he is now, but in 2013, he was living quietly in his villa with five of his wives and many children.?
?Snowden is at present a fugitive. He flee US after leaking documents about the NSA?s surveillance programs.?
India.com reports:
The report also said that Snowden previously too made some unreported allegations about Osama Bin Laden
Snowden goes on to say that CIA had orchestrated fake death of the former leader of al Qaeda.
He claims that Osama was transported with his family in an unrevealed location in the Bahamas.
The report further quotes him as follows ? ?Osama bin Laden was one of the CIA?s most efficient operatives for a long time. What kind of message would it send their other operatives if they were to let the SEALs kill him? They organized his fake death with the collaboration of the Pakistani Secret services, and he simply abandoned his cover. Since everyone believes he is dead, nobody?s looking for him, so it was pretty easy to disappear. Without the beard and the military jacket, nobody recognizes him.?
Not only this, Snowden categorically states that he will talk about the documents which prove Laden is alive in book which is likely to be released in September.
However, Snowden?s claims have not been substantiated or confirmed by any other source.
The US government has filed espionage charges against Snowden for revealing classified NSA documents to journalists.

Very confusing story to even believe it!If he was CIA operative for special missions then why in the world would CIA look for him?Then again, Osama is living somewhere in the hideout at the expense of the CIA money.
 
Nilisha edit mbona; Osama amekufa ingia you tube tafuta decumentary za bbc kuhusu tukio zima utaona mipango ilivyoanza tangia ilivyobainika alipo, mpango mzima wa CIA kuingia Pakistan na kuondoka kwa nusu saa kabla jeshi alijawafikia maana awakutaka kuwataarifu kwa sababu zao ki intelegensia.

Wala sio hadithi live images za camera za jeshi ndio zimetumiwa kutengeneza documentary, ushuhuda wa majirani pamoja na serikari ya Pakistan.
kambi ya jeshi iko umbali wa mita 500,nusu saa jeshi lisifike?
 
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

Chanzo: india.com reports

Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.

Osama hajawahi kuwa Adui wa Marekani!..ni mchezo mnachezewa tuu


attachment.php
 

Attachments

  • hillarybinladen3.jpg
    hillarybinladen3.jpg
    24.3 KB · Views: 1,281
Niliwahi kaweka uzi hapa ktkt ya mwaka huu kwamba Osama yupo hai lakini Moderator waliuondoa.
Kuna muandishi nguli wa habari za kivita alithibitisha kwamba Osama yupo hai na kilichotokea pakstan ilikua ni sinema tu becouse haiwezekani kikosi cha nchi nyingine kiingie ndani ya pakstan na kufanya Mission Pasipo julikana.

Pakistan sio pakstan bro
 
Last edited by a moderator:
kambi ya jeshi iko umbali wa mita 500,nusu saa jeshi lisifike?
Ndugu wao waliingia na chopper usiku zilikuwa zinapaa chini ya kiwango cha radar detection kwa hivyo calculations zao ni kwamba muda waliokuwa nao ni wakati wa kutua mpaka jeshi litakapofika kwa hesabu zao na mission ilikuwa ni ya muda mfupi walishafanya physical simulation exercise ya nyumba, vyumba na askari wenyewe awakujua target ni nani mpaka usiku wakazi; hesabu zilikuwa timed how long kabla awajafikiwa.

Kwenye documentary kuna commentary ya Obama, CIA chief operations officer na video nzima za tukio lenyewe. Mbona wake zake awakufa wala watoto wapo wanaweza toa ushahidi ni kitu gani kilitokea wao waliuwa walinzi wake tu; sio kwamba kila kitu siri kuna ushahidi wa kutosha jinsi alivyouwa na maiti yake, kuna watu waliokuwemo na kupona, ushahidi wa majirani na serikari ya Pakistan kulalamika marekani kuingia nchini kwao bila ya kibali.
 
Mbona serikari ya marekani imesha release the whole documentary footage ya operation ilivyokuwa tena using live images walizokuwa wanarekodi na kuangaliwa na raisi marekani wakati wa tukio lenyewe, ushahidi wa majirani na mazingira ya nyumba ilivyokuwa, ushuhuda wa pakistani anga zao kuingiliwa bila ya kibali and the whole sage Osama is well dead.


Who was Osama Bin Laden?
Osama bin Laden, A.K.A. CIA Asset "Tim Osman"

Tim Osman (Ossman) has become better known as Osama Bin Laden. ?Tim Osman? was the name assigned to him by the CIA for his tour of the U.S. and U.S. military bases, in search of political support and armaments. There is some evidence that Tim Osman ? visited the White House. There is certainty that Tim Osman toured some U.S. military bases, even receiving special demonstrations of the latest equipment. Why hasn?t this been reported in the major media?





attachment.php
 

Attachments

  • Tim Osman - Osama bin Laden.jpg
    Tim Osman - Osama bin Laden.jpg
    25.7 KB · Views: 990
This is bullshit! Osama Bin Laden was killed and buried by SEAL no question about it.
 
Ndugu wao waliingia na chopper usiku zilikuwa zinapaa chini ya kiwango cha radar detection kwa hivyo calculations zao ni kwamba muda waliokuwa nao ni wakati wa kutua mpaka jeshi litakapofika kwa hesabu zao na mission ilikuwa ni ya muda mfupi walishafanya physical simulation exercise ya nyumba, vyumba na askari wenyewe awakujua target ni nani mpaka usiku wakazi; hesabu zilikuwa timed how long kabla awajafikiwa.

Kwenye documentary kuna commentary ya Obama, CIA chief operations officer na video nzima za tukio lenyewe. Mbona wake zake awakufa wala watoto wapo wanaweza toa ushahidi ni kitu gani kilitokea wao waliuwa walinzi wake tu; sio kwamba kila kitu siri kuna ushahidi wa kutosha jinsi alivyouwa na maiti yake, kuna watu waliokuwemo na kupona, ushahidi wa majirani na serikari ya Pakistan kulalamika marekani kuingia nchini kwao bila ya kibali.
Ukimiliki media unamiliki na akili za wajinga.
 
Unaishi kwa kujificha na kukimbia bado unatukana. Siku wakimkamata atakiona
 
Nasikia kumbe Osama ndiyo yule Obama. Wakichokufanya ni kumbadirisha uarabu wake na kumuwekea uafrika na uzungu kwa mbaaali, wakaumba umba historia feki na kumpa urais wa merikani kama shukrani kwake .
 
Inatusaidia nini kama taifa kwasasa?
 
Back
Top Bottom