Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Uliuona mwili wake?
Wote waliokufa hapa duniani uliona miili yao? acha ujinga kenge wewe.
Uliuona mwili wake?
Tatizo la hawa wamarekani ni waongo tena sana,hebu tujiulize this question: Hakuna shaka kuwa wamarekani wanapenda sana sifa na kujionyesha ni wenye nguvu kijeshi ulimwenguni,na wamemtafuta sana OSAMA huyo miaka kibao,sasa itakuwaje wasimkamate akiwa hai! ikiwa wanauwezo kweli kijeshi ulimwenguni ((maana kumuuwa mtu na kushindwa kumkamata akiwa hai huo unaweza kuwa ni udhaifu wako kijeshi na si kumuuwa sio dalili ya nguvu kijeshi bali kumkamata akiwa hai ndio inaweza kuwa dalili ya nguvu uliyonayo)) Na huo mwili wake baada ya kumuuwa Kwanini hawakuuchukua kwao marekani ili wamarekani waone kuwa huyu ndiye aliyeshusha majengo mawili mapacha?
Food for thought
Hiyo kumkamata mtu akiwa hai ni kwa mujibu wa mtazamo na matakwa yako...hata hivyo walimkamata akiwa hai na wakamuua wenyewe...na kwanini wafanye kazi kubwa ya kukuubilia kuwa amekufa...kama huamini si basi...na kwa taarifa yako osama alikuwa anatafutwa akiwa hai au amekufa
hizo ni propaganda kijana sio wakati wa kudanganyika tena!hebu kaa chini ujifunze na usiwe kama kuku aliyekatwa kichwa... then usiwe mwepesi kuamini bila kujuwa kile ambacho kimetokea! ni nani asiewajuwa hao makelb kwa usanii! kwani mazingira yenyewe hatujaonyeshwa badala yake twaonyeshwa picha tu sasa tutaamini vipi? wanadai kuwa hawashindwi kitu ndio wanathibitisha kuwa wamemuuwa wakati mwili wake hawajatuonyesha hii ajabu kweli,kijana huko ni kudanganyika bila kujuwa kuwa umedanganyika....kwaheri
hizo ni propaganda kijana sio wakati wa kudanganyika tena!hebu kaa chini ujifunze na usiwe kama kuku aliyekatwa kichwa... then usiwe mwepesi kuamini bila kujuwa kile ambacho kimetokea! ni nani asiewajuwa hao makelb kwa usanii! kwani mazingira yenyewe hatujaonyeshwa badala yake twaonyeshwa picha tu sasa tutaamini vipi? wanadai kuwa hawashindwi kitu ndio wanathibitisha kuwa wamemuuwa wakati mwili wake hawajatuonyesha hii ajabu kweli,kijana huko ni kudanganyika bila kujuwa kuwa umedanganyika....kwaheri
Ni vigumu kuamini eti Wamarekani wanaongopa kudai kuwa walimuua gaidi Osama. Kama wanadanganya ni kwa nini iwe muda huu na si kabla? Je hao US waliwapa rushwa Pakistan ili wailalamikie US kwa kuingilia sovereignity yake? Halafu Musharaaf aliyekuwa rais wa Pakistan hapo zamani akiwa ugenini alisikika akiilaani US na kusema kuwa walitakiwa waiarifu serikali ya Pakistani baada ya kugundua anapokaa ili wamkamate pamoja ni kwamba naye alipewa rushwa? Na tena yule nesi aliyetuhumiwa kutoa taarifa zilizowezesha kufahamika anapokaa Osama hivyo huyo nesi akashtakiwa na serikali ya Pakistani nao ulikuwa usanii wa serikali? Na huo usanii ulifanywa na serikali ya Pakistan kwa lengo gani na kwa faida ya nani?
..juzi nilikuwa nakunywa nae gahawa Ngaleloo!
Waislamu kwa kujifariji mko juu, yaani Osama kaliwa na samaki Siku nyingi, nyie bado mnajitutumua eti mzima ebu kuweni na aibu, hivi mnaweza kumleta hadharani huyo Osama na kuudhihirishia ulimwengu kuwa yu hai?,evi mnapata faida gani kwa uwepo wake ama kutokuwepo kwake,? Tatizo lenu mnaamini kuwa ghaidi hawezi kamatwa ama kuuwawa.
Wacha kula hashish km mboga kijana.
Hizi hadith za sungura na Paka wapelekee wagalatia.
Eti kaliwa samaki.
.
Teh teh teh.
Mkubwa mzima unaingia mkenge kilainiii.
Kabla ya kuthibitisha uongo,thibitisha ukweli
Ukweli gani unaotaka wewe na Mimacho ka ngumi ya mwizi!
Wapi umeshawahi kusikia GAIDI number 1 duniani Eti auwawe, kisha akatupwe baharini.
Wazungu wanadhani wote wapumbavu.
Nyie akili Kuambiwa atakachosema Mzungu mnabeba mazima tu.
Leo kuna Waafrika Mamilioni waabudu picha ya Holywood actor.
Tena Ukimwambia ukweli Anakutusi na Kukuona mbaya.
Miafrika ni Shidaaa.
Viongozi wangapi wa bokoharam somalia wameuliwa na ndege za marekani ,na maiti hazijaoneshwa ,na bado boko haram wakakiri kuwa hao watu kweli wamekufA?..sasa wewe kaa na upuuzi wako wa kuamini mtu kufa lazima uione maiti yake...baati mbaya wazungu hawafanyi maswala hayo yao kishabiki eti kukuaminisha kweli fulani kafa...huo ni ujinga wa waafrika na waarabu
We na mimacho yako mikubwa habari hizi huna pa kuzipata zaidi ya ITV 😄. Ntajadili na wewe ntaiza kichwa tu.
Wanavijiji km nyie mnabishana na redio mi ntakuweza?
Kafe mbele. Huna ulijualo