Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Kwani hata Daud Balali mbona wanasema yupo kwanini mshangae Osama maana hakuna video iliyoonyeshwa anakata roho pili wanaweza kuumtu mwingine wakaweka sanamu lake likamwagiwa damu nakuambiwa kauwawa wakati hajafa na kwanini wamfiche katika maziko wangemfanya kama Sadamu Hussein navyo wajua wamarekani kwa kutaka sifa akyanani wasingemzika na jiwe baharini niuongo mtupu!.
 
Kuna kipindi kulikuwa kuna uvumi kuwa 2pac yuko hai kwamba mwaka 2000 angejitokeza,so endelea na huo uvumi mwingine mpya
Baada ya mda mrefu alitoa wimbo ukiitwa rest in Peace Big ndo maana wakasema uenda hakufa!maana wimbo wote unaeleza jinsi alivyouwawa.
 
Kwani hata Daud Balali mbona wanasema yupo kwanini mshangae Osama maana hakuna video iliyoonyeshwa anakata roho pili wanaweza kuumtu mwingine wakaweka sanamu lake likamwagiwa damu nakuambiwa kauwawa wakati hajafa na kwanini wamfiche katika maziko wangemfanya kama Sadamu Hussein navyo wajua wamarekani kwa kutaka sifa akyanani wasingemzika na jiwe baharini niuongo mtupu!.

Mkuu osama alikuwa na wake zake siku ya tukio,hawajauwawa na wako huru,angekuwa hajafa wangesema
 
Mimi hapa hata sijui nini kinaendelea maana kama nikweli basi ni shida na ndo maana akakimbilia urusi vinginevyo angekuwa amenyongwa bwana E.Snowden
 
Mkuu osama alikuwa na wake zake siku ya tukio,hawajauwawa na wako huru,angekuwa hajafa wangesema

Mkuu kama walimchukua watajuaje mkuu wanaweza wakamzima wakadai amekufa wewe unacheza na wamarekani
 
Nilisha edit mbona; Osama amekufa ingia you tube tafuta decumentary za bbc kuhusu tukio zima utaona mipango ilivyoanza tangia ilivyobainika alipo, mpango mzima wa CIA kuingia Pakistan na kuondoka kwa nusu saa kabla jeshi alijawafikia maana awakutaka kuwataarifu kwa sababu zao ki intelegensia.

Wala sio hadithi live images za camera za jeshi ndio zimetumiwa kutengeneza documentary, ushuhuda wa majirani pamoja na serikari ya Pakistan.

ha haaaa we unaonyesha umetokea kijijini !yani unatushauri tuingie youtube tutafute documentary na isitoshe za bbc?
 
Mkuu kama walimchukua watajuaje mkuu wanaweza wakamzima wakadai amekufa wewe unacheza na wamarekani

Hizo labda ni zako ww, wife anaakili timamu, mazingira yaliopo wao walishuudia ,us wanasema walimmiminia vyombo akafa palepale,inamana wife walishuudia na ndo mana hawa_ crush hizo taarifa...ww ulieko manzese ndo unasema yuko hai...hizi stori muwe mnatafuta ukweli bila kuwa na maamuzi vichwani mwenu
 
Mimi manzese wewe Marekani na bado kuna watu huko wanasema ajafa wewe ulikutana na mke wake akakwambia kuwa nimewaona wanammiminia risasi?au basi na wewe ulipata google youtube na documentary za BBC??pevuka usiwaamini wamarekani kupitiliza hata cinema unaona ni matukio ya kweli??
 
Documentary nayozungumzia ina images taken from the physical ground na wahusika wenyewe niamini mimi Osama is dead huyo ka google tu na mwandishi ajampa ushahidi wowote ya kuwa Osama yuko hai zaidi ya kubandika post online.
unaakili kama za google
 
Mimi manzese wewe Marekani na bado kuna watu huko wanasema ajafa wewe ulikutana na mke wake akakwambia kuwa nimewaona wanammiminia risasi?au basi na wewe ulipata google youtube na documentary za BBC??pevuka usiwaamini wamarekani kupitiliza hata cinema unaona ni matukio ya kweli??

Oke poa yuko hai!...ukienda marekani utapiganae selfie ya kuweka fb....najua udini ndo unakufanya ukilazimishe kichwa chako kiamini huo ujinga
 
Sio Osama tu, Ghadaffi yupo hai, Sokoine yupo hai, Dr Ouko yupo hai na hata Tupac yupo hai pia, ujinga ni maamuzi tu yako binafsi ukiamuwa kujiweka kwenye kundi la wajinga na mazuzu wala haina gharama.

Mkuu umewajibu sahihi kabisa. Ukitaka kuamini uzushi na uongo ni hiari yako. Wapo wanaoamini hata Balali yupo hai ukiwapa ruhusa na nauli ya kwenda kumleta wanarudi na hadithi ya kutuletea picha ya kaburi lake na maandishi kwani nasi si tunazo? Walioanza kutangaza mkuu wa majeshi kanyweshwa sumu na kufikia hata hatua ya kumtangazia kifo siku walipomwona Ngerengere kama sio kuwa alikuwa mahabusu angeweza hata kujiua. Ongea unavyoweza kwani mdomo haudai voucher ila utakapovuka na kuvunja sheria utatamani ufe hata kabla ya kukamatwa. Tena uone jeshi letu walivyo na busara wakatoa hata muda wa kuomba radhi lakini sikio la kufa......
 
Hiki kipande mmekisoma? Ngoja nikiweke

A disclaimer on their site reads as follows - WNDR assumes all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website ? even those based on real people ? are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
 
Osama bin Laden is dead and buried. That is it. People can say anything for any purpose but truth is objective and will not depend on any one's wishes or desires. The truth is Osama is dead.

Mbona unatumia nguvu nyiiiingi hvo mkuu...jitulize wenye kujua washushe nondo
 
Osama kashakufa hadi siku anakamatwa kuna baadhi ya channel moja kwenye dstv walionyesha na watoto wake wenyew wamekiri kwamba baba amekufa pamoja na mkewe

Watoto wanaeza sema chochote wanachoagizwa...hv ukisikia a leading nation huwa unadhani nn kinamaanishwa???
 
Mnaosema osama yuko hai weka ushahidi hapa....
 
Back
Top Bottom