Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Hizi ni story tu halafu mbaya zaidi hakuna hata tone na ushahidi uliowekwa ila watu mmelipuka. Kashakufa huyo na hatoonekana milele. Ni story kama za 2pac tu, walisema yu hai ila mwaka wa 19 huu story ni zile zile
 
Yaleyale ya cospiracy theory ya "did we land on the moon", marekani ni mabingwa wa kupika story!! Kwa asiyejua na kufuatilia ataona kama hizi ni porojo tu.....hiyo documentary waliyotoa ni igizo tu! Kama ilivyokuwa during cold war kati ya US na Russia, waliforge video ya kuonyesha kuwa wamefika mwezini ili kumshinda mrussia tu, hii walikuwa wanataka kuudhihilishia ulimwengu kuwa wako mbele katika vita dhidi ya ugaidi. Kifo cha saadamu kilikuwa more convising ila cha osama ni drama tu.
 
Hiii ni Kali kweli tunahitaji mwenye uthibitisho zaidi tusilumbane leteni evidence kama kweli you hai au dead
 
Siwezi kushangaa kwani hata kuna wakati tuliwahi kusikia kuwa Hitler alikuwa hai wakati ilijulikana duniani kote kuwa amekufa.
 
Kwa uhalisia ninaelekeza imani yangu kwako kuwa osama alisha kufa ila kwa ilivyo CIA pia uwezekano wa osama kuwa hai upo pia
Ndio maana wanatoa detailed evidence based videos kama hizo kusudi kila mtu aone maana wanajua kuna watu bila ya ushahidi wanaweza sema Osama bado yuko hai sijui anafanya hiki na kile video ambayo inaonyesha live mission, detailed account of how they uncovered his hideout mpaka siku ya mission na sura ya marehemu na familia yake ndio namna pekee ya kukata mzuzu wa fitina; communication kwa wazungu ni kitu muhimu sana kwenye jamii yao sio kama sisi serikari inaweza pewa shutuma usione ata afisa wa idara kujitokeza kujibu hoja husika.
 
kalagabaho

Kama unasahihishwa na mwalimu nchi za ulaya uki google kama hivyo una fail kuna principle lazima uziweke kwenye arguments or arguments should be backed with physical evidence, personality matching the environment of those past society, psychological reasoning of those era kwa hivyo kabla ujakurupuka lazima usome maandishi ya mtu ambayo yana credentials ndio uandike research zako which also its arguments can be traced ata kama unaandika thesis ya history in 10th century. Without evidence people will just take that writing as pure bunkum.

On the other hand hakuna kitu google unakosa ambacho kipo kwenye journals zozote au kitabu chochote if not more when doing research provided kwanza unajua principles zenyewe za subject matter and for you to do that lazima usome vitabu vingi sana from a to A-Z its called foundation building with that reasoning knowledge the world of google is yours to exploit; at least information wise leave it to the pros.


simple minded
 
simple minded
Huku kwetu biashara yangu inajulikana natafuta mteja wa Phd sasa any subject minus lab researches again na ushahidi wa kazi zangu na wateja wenyewe upo sio kwa kujisemea kama wewe utashinda miaka mianane kwenye computer za watu wakati siri ya urembo ipo kichwani poyee.
 
Hizi ripoti nazifananisha na kifo cha 2pac kuna watu mpaka leo wanadai 2pac anaishi...
 
Yaleyale ya cospiracy theory ya "did we land on the moon", marekani ni mabingwa wa kupika story!! Kwa asiyejua na kufuatilia ataona kama hizi ni porojo tu.....hiyo documentary waliyotoa ni igizo tu! Kama ilivyokuwa during cold war kati ya US na Russia, waliforge video ya kuonyesha kuwa wamefika mwezini ili kumshinda mrussia tu, hii walikuwa wanataka kuudhihilishia ulimwengu kuwa wako mbele katika vita dhidi ya ugaidi. Kifo cha saadamu kilikuwa more convising ila cha osama ni drama tu.

We ni mtu wa ajabu kwelikweli, huwaamini waliosema kafa ukidai hata video yao ya kupika huku ukiwaamini wanaosema yu hai kwa maneno matupu bila hata kaushahidi kokote!
 
Mbona serikari ya marekani imesha release the whole documentary footage ya operation ilivyokuwa tena using live images walizokuwa wanarekodi na kuangaliwa na raisi marekani wakati wa tukio lenyewe, ushahidi wa majirani na mazingira ya nyumba ilivyokuwa, ushuhuda wa pakistani anga zao kuingiliwa bila ya kibali and the whole sage Osama is well dead.

This is a typical uswahili way of arguing. Ukienda Kariakoo vijiweni ndiko utakuta type hizi.
 
Believe me,Osama is neither dead nor involved in the 09/11 bombing incident in New York. Everything was planned and implemented by Americans themselves for a purpose.

kuna wengine kuamini mpaka uwagonge kichwani aidha konzi au kirungu
 
Sio Osama tu, Ghadaffi yupo hai, Sokoine yupo hai, Dr Ouko yupo hai na hata Tupac yupo hai pia, ujinga ni maamuzi tu yako binafsi ukiamuwa kujiweka kwenye kundi la wajinga na mazuzu wala haina gharama.

Wewe POPOMA Ulipotelea Wapi? Tokea Lowassa Wako Aukose Urais Na Wewe Ukapotea Kabisa Humu. Vipi Umeiona Shughuli PEVU Na ILIYOTUKUKA Ya Rais Kipenzi Cha WATANZANIA Na Dunia Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI?
 
This is a typical uswahili way of arguing. Ukienda Kariakoo vijiweni ndiko utakuta type hizi.
Mwenzako kakusaidia na bloc ya post yangu ya ushahidi jinsi gani mnavyoshinda usiku na mchana kunifatafata hata na kunitafuta nikizima kuingia humu.
 
possibly he is alive tangu kifo chake nlipata wasiwasi sana na jinsi alivyozikwa hawakuwa na uhakika kuwa ni yeye ndo maana akazikwa kwa utata,

yule jamaa alikuwa na watu wakufanana naye majina pia wanaitwa osama wawe makini
 
Back
Top Bottom