Osama: Umetuletea balaa na tafran kubwa huku ughaibuni hasa huku US. Kabla ya Sept 11 kila kitu kilikuwa shwaaaaaariiiiiiiii tambarareeeeeeeeeeeeeeee. Umeleta balaa za deportations, E-verify, kero za airport, FBI misikitini, sheria mpya za makaratasi kule INS kila kukicha etc.
Familia zimetenganishwa, marafiki wamekuwa deported etc. Mungu akuchome moto mara trillion moja. Ukawe kuni zetu kwenye moto wa kiama.
ROT AND ROT IN HELL, B-ASTARD USAMA!! :A S-baby:
vuvuzela, pole kwa machungu yote yaliyoletwa na tukio la 9.11 na juhudi za mataifa ya magharibi kupiga vita vitendo vya kigaidi dhidi yao na si dhidi ya raia wasio na hatia kama ilivyo nchini somalia kwa miongo kadhaa sasa. But, si lazima kuishi ughaibuni especially kama adha na karaha zimezidi unga na kuondoa ladha ya maisha ya raha , rudi nyumbani, as you know - home sweet home! Lastly but not least, if you have good brains nobody needs to tell you what to think, what to do, or what to say, life is too short to grumble about for nothing!
It was so unecessary sababu waungwana hawakuwa na silaha
Hebu upe ubongo wako kazi uwe bize kidogo utueleze vizuri kinachokupelekea uje na hiyo school of thought mpya. Ukweli wa yaliyojiri utabainika lini kutoka source ipi? Bahati mbaya media za magharibi ziko unmatched na hizo pro-Osama media, na hata hiyo Al jazeera imeajiri Wazungu kama news anchors!
Wakati mwingine hauhitajiki kuwa msomi wa Decree kuyajuwa mambo haya, wakati Yesu yupo hapa duniani hakukuwapo na kitu kinaitwa dini ya kiislamu, baada ya Yesu kuondoka Miaka mingi baadae tena zaidi ya miaka 700 ndio akaja Muhamad SW na koran. na ukumbuke Mtume Muhamad alikuwa hajui kusoma wala kuandika, kwa hiyo kama hujui kwanza uislamu usidandie kitabu kingine usichokijuwa. ukitaka kuujuwa ukristo soma kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo na usisome ili kwenda kubishana kwenye mihadhara hautaelewa kitu.
.................. kwa hiyo siku tukiamua kutumia akili zetu kikamilifu tutawapita WAYAHUDI ! aanha !.............. basi hakuna haja kuwasifia hao mabwana, kumbe tuko nao sawa ! ni uvivu wetu tu wa kutumia akili !
............... " nimekuusia DINI ile ile niliyomuusia Ibrahim,kisha Musa na Isaah (Yesu) ndio hiyo hiyo nimekuusia ewe Muhammad !"
kwa taarifa yako ADAM na HAWA walikuwa WAISLAAM na YESU pia ni MUISLAAM (unaju Dini ya YESU?) (KRISTO kiyunani maana yake ni.... MUNGU !)
vuvuzela, pole kwa machungu yote yaliyoletwa na tukio la 9.11 na juhudi za mataifa ya magharibi kupiga vita vitendo vya kigaidi dhidi yao na si dhidi ya raia wasio na hatia kama ilivyo nchini somalia kwa miongo kadhaa sasa. But, si lazima kuishi ughaibuni especially kama adha na karaha zimezidi unga na kuondoa ladha ya maisha ya raha , rudi nyumbani, as you know - home sweet home! Lastly but not least, if you have good brains nobody needs to tell you what to think, what to do, or what to say, life is too short to grumble about for nothing!
............... " nimekuusia DINI ile ile niliyomuusia Ibrahim,kisha Musa na Isaah (Yesu) ndio hiyo hiyo nimekuusia ewe Muhammad !"
kwa taarifa yako ADAM na HAWA walikuwa WAISLAAM na YESU pia ni MUISLAAM (unaju Dini ya YESU?) (KRISTO kiyunani maana yake ni.... MUNGU !)
Haujui kama sept. 11 imefanywa na wazungu na wayahudi ?
............... kwani mnakawia kuchemka ! wapi imeandikwa UKRISTO ndio DINI ? YESU alikua DINI gani ? ................... hapo sasa ! sana sana utaleta kejeli tu, maana kazi yenu kudakia nyimbo tu ! ............ MUNGU anazaliwaje na MTU ?!:happy:
Credible source please! Sitaki hizo conspiracy theories nimechoka nazo
9/11: The biggest lie in history!
Watch this video from White-Americans proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and no luggage were found! Also, no noise was either recorded or detected by any ordinary person!
Watch them here,
9/11: The biggest lie in history! - SEKENKE FORUMS.
Hivi allah ameishiwa nguvu namna hii!!!
Kuna utata mwingi kwenye suala zima. Hivi mtu fugitive anayetafutwa masaa 24 anaweza kupanga nyumba na kuishi na wake zake na watoto?. Pia aliyesema mipira ya watoto ikianguka ndani kulikuwa na mtu alikuwa anatoka na kuwalipa tu pesa watoto-huu nao ni utata mkubwa!. Huyo anayelipa pesa si angeokota tu hiyo mipira na kuwarushia hao watoto!?. Kulikutwa na mipira mingapi humo ndani?. Habari nyingi zinakosa uzito but i think it is just a matter of time mwanga utapatikana.