USILIZALILISHE JWTZ WEWE hajawahi kuwa huko yeye alikuwa mwana ccm tu!
j.k hafungamani na upande wowote
teh teh teh-as long u dont know my abilities-siwez kukulaumu-but nakupa onyo-never underestimate mtu kama mmi-na mtu usie mjua
Mod najua tayari ipo thread inayozungumzia kifo cha Osama lakini nimeona ni vyema nikaianzisha hii ilikuweka msisitizo kwa wanaodhani kifo cha Osama ni mazingaumbwe.Haiwezekani Rais,Makamu wa Rais,Waziri wa mambo ya Nje na Home land security adviser na wakuu wote wakae chumba kimoja kwaajili ya kuudanganya ulimwengu,Osama habari yake imeshamalizwa.
haaaaah subiri al-jazeera watatoa video ya Osama kesho kumwonesha akiapa kufanya mashambulizi mapya NY!
Amini usiamini! Mwili unaodaiwa na Marekani kuzikwa baharini ni kizungumkuti na mazingaombwe tu, ukweli wa yaliyojiri utabainika muda si mrefu ujao. No body was buried in the sea, believe me or not!
pole mkuu naona amekufa mtetezi wenu KUMBUKA ALITETEA UISLAM LAZIMA MUANDAMANE!
Amini usiamini! Mwili unaodaiwa na Marekani kuzikwa baharini ni kizungumkuti na mazingaombwe tu, ukweli wa yaliyojiri utabainika muda si mrefu ujao. No body was buried in the sea, believe me or not!
...........kafiri ni kafiri tu ! Uislaam ulikuwepo tokea wakati wa Adam na Hawa ! sembuse OSAMA !:happy:
tufanye tukuamini zaidi mkuu,,, maybe tell us something more, au tupe source,,, umetuacha hewani sana mheshimiwa, ungetupa more light
Wamarekani ndo wanadai wamemuua na picha wanazo. Sasa kwa nini hawazitoi? Visingizio walivyovitoa havina mshiko kabisa.
Osama ni "trophy" bana.....
ndio maana nimeanza na wewekawape wafuasi wako hilo onyo