Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.

Wewe si ndiyo dizaini ileile mnakuwa na pent-up sexual frustrations na agressions kibao ndani yenu hadi ikifika hatua Imam/Sheikh anakuja na dili ya kujivinjari na "Mabikra 72" ahera ili mjilipue kutetea "Islam", basi mnakuwa mko desperate kujilipua ili mradi muwahi "ahera" mkawakojolee hao "Mabikra 72" hewa kwa zamu.

Piga nyeto mara kwa mara ku-release tension in your "Muslim" body & soul bro, na glasi ya wine mbili tatu au 12-pack ya Heineken kila wiki is all right: I promise you, you'll feel just fine, if not even better.
 
Hizi porojo za uncle sam yale yale ya tulitua mwezini na wameshindwa kurudia baada ya wanasayansi kuwastukia,kwanini maiti itupwe baharini na haraka hivo ? Kuna propaganda inaendelea hapa ukweli utajulikana karibuni.

hata mim jana nilisoma kwenye mtandao wa cnn waliitoa as breaking news ila sasa hawajaitaja bahari......
 
Hali zenu great thinkers wenzangu! Naomba mnijuze wadau bahari alipozikwa huyu gaid nambari moja wa al-qaeda ambaye kwasasa hatunaye tena duniani, hapa namaanisha Osama bin laden, Nawasilisha.

kazikwa Ferry hapo Magogoni
 
Yaani hapa kuna maswali mengi ambayo majibu yake wanayo hao walioendesha operesheni hiyo!
 
Mwiliiiiiiiiiiiiiiiiiiii uko wapi body where...........................................mwili why kazikwa fasta fasta baharini sio kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii siwezi amini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kwa shilingi moja,osama yu hai ni hadaaaaaaaaaaaaaaa tu ya marekani
 
Hivi waislamu wanaonyeshaga mwili jamani :bange::bange::bange:
 
Kumbe hawajasema ni bahari gani alikozikwa? Kuna maswali mengi kuhusiana na kifo hiki ambayo hayana majibu!
 
Nafikiri wamekurupuka kuipika hii habari.kwanini atupwe baharini?na ni bahari gani?kwanini mapema hivyo?leo wamekanusha ushiriki wa jeshi la pakistani katika kifo hicho.not convincing kwa kweli.
 
Kwanza Mazishi ya baharini huwa yanafanyikaje?
Kuna binadamu mwingine yeyote aliyewahi kuzikwa chini ya bahari?
Ni suala lenye utata sana hili!
 
Miongoni mwa wa2 wa mwisho kuaamini ni me km osama kafa na pili miongoni mwa suna ambazo zicpofanywa waislam wanapata dhambi ni kuikataa maiti na kuanza kuadhirika sasa nchi gani ilokataa wakati uislam unakataza
 
kuzika baharini maana yake nn?
hakuna ardhi ambayo ingeweza kupokea kiumbe hiki?
huko baharini wamemtosa au kuna kaburi lilichimbwa!!!?sielewi elewi vile!
 
Wa-Hindu(Hindi) wanazika Baharini!
Mkuu,
Hapa kumbukumbu ni lazima ziwekwe sawa kwa matumizi ya baadaye!
Wahindi wanatupa majivu baharini(bahari ya Hindi?)au mto Ganjes huko kwao, na si kuchimba kaburi katikati ya bahari!.
Hapa pana maswali mengi sana ya aina ya mazishi aliyofanyiwa huyo jamaa!
Isije kuwa alipelekwa kwenye Eneo lenye Nyangumi wengi na kuachwa huko!
 


Nyie wengine ni akina Tomas ktk Biblia, haya picha hiyo.
Ukiangalia kwa umakini hii picha ni yakutunga kwani hebu angalia rangi ya ndevu zake akiwa hai na hiyo nyingine,pia kuna walakini jicho la kushoto kwake kuna usanii umefanyika kwa mbali na umakini utaliona limefunguka lakini hapo limezibwa.tusubiri US wa release zenyewe.PIA KUWENI MAKINI KWANI KUNA VIRUSI WAMESAMBAZWA KUHUSU PICHA ZA OSAMA
 
as far i know kama kweli ameuwawa wamejuaje maana moja ya criteria za fbi page of most wanted ni dna ya muhusika hpo je umeckia any thing about dna?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…