mpaka sasa hivi habari zinachanganya changanya jinsi zinavyotoka japo inaonekana wana huakika wamemuua.
Haikuwa na haja Obama kutoa habari kama bado wajamaliza dna tests na hawako tayari kuonesha picha zake .
Hunijui wewe. Ungenijua wala usingeandika hayo mavi ya kuku.
I'm almost as American as they come.
Al qaeda in Yemen confirm death of Osama bin Laden
Source-Express 24/7
Bei ya mafuta ishashuka by 2% baada kifo cha Osama , hawa jamaa wanajua kutuchezea sana kwenye bei za mafuta.
Kwani hizo mashine katengeneza Osama?.Mbona unataka kubebesha makosa watu yasiyokuwa yao!.
Hakujui kabisa nadhani angekuwa kwenye lile jukwaa la US election 2008 angefahamu fika uliposimamia. Hahahahaha, some are celebrating some are angry why the damn guy got him, the mission to make him a one term has hit a pumpy road now.
Awesome! Sasa ngoja niingie bookingbuddy.com ninunue tiketi yangu ya kwenda bongo....lol
Hakujui kabisa nadhani angekuwa kwenye lile jukwaa la US election 2008 angefahamu fika uliposimamia. Hahahahaha, some are celebrating some are angry why the damn guy got him, the mission to make him a one term has hit a pumpy road now.
Kumbe hata ulinganishaji wa DNA hawajamaliza? Unajua mimi nijuavyo haya mambo ya DNA yanachukuaga hata siku kadhaa. Sasa jamaa eti tunaambiwa wamemuua jana na kupata DNA match jana hiyo hiyo. Mweh!
Hapa Wamarekani bila kutoa conclusive proof itakula kwao. Watatengeneza a larger than life figure more than he already is.
Hapa mkuu hatujuwani kwa sura, hapa tunajuwana kwa mitazamo tu mkuu, anza kuhesabu post zako ulizopost kwenye thread hii unavyojaribu kushindana na ukweli kwenye dunia ya kistaraabu ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. Labda ndugu yangu wewe sio msafiri, Huyu shetani Osama amebadilisha utaratibu mzima wa maisha ya binadamu katika dunia ya leo, kuanzia kuomba viza za nchi za magharibi, airport sasa hivi tunasachiana mpaka matakoni,natumeletewa mpaka electronic finger print mashine, unafikiri dunia ya kistaraabu tunapaswa kudhibitiwa kiasi hiki! fikiria na dadisi kwa makini ndio utagunduwa ulichoandika wewe ni mavi ya bata. wewe mtu ambae haujawahi kuvumbuwa hata sindani ETI unafanya argument na CIA! kichekesho cha karne.
Bei ya mafuta ishashuka by 2% baada kifo cha Osama , hawa jamaa wanajua kutuchezea sana kwenye bei za mafuta.
Usiamini kila kitu kinachosemwa na hawa watu wa Magharibi. Kwani CIA ni mungu?
Mpakaka sasa hakuna ushahidi wowote kwamba Osama ameuwawa.
Afadhali wewe mwambie maana kubishana na watu walio wageni humu ni kazi si kidogo.
Usiamini kila kitu kinachosemwa na hawa watu wa Magharibi. Kwani CIA ni mungu?
Mpakaka sasa hakuna ushahidi wowote kwamba Osama ameuwawa.