Osama Bin Laden anakula bata Bahamas muda huu

Edward Snowden katika kituo kimoja cha tv huko Urusi alishawahi kudokeza kwamba Osama yupo Bahamas. Hapo Urusi wakamwambia aache kutoa siri za Marekani ndipo atapewa ruhusa ya kuishi Urusi. Tokea Siku hiyo Snowden yupo kimya mpaka Leo.
 
Kwa hiyo Ghaadaf unataka kusema alioneshwa rasmi,mimi sina maana hiyo bali nnasema kutokana na yale yaliyojir kwa Watu hao,nnatambua Uislamu hauruhusu kuoneshwa live mwil wa marehemu,hoja hapa ni kwamba mbona Ghaadaf na Saddam walioneshwa kwa namna walivyouwawa ilikuwaje? Osama ikishindikana,kifo chake kina utata bado
 
Gadaffi alikua mkristo??
 


Mbona Saddam Hussein na Gadaff maiti zao zilioneshwa hadharani je wao sio waislamu??
 
Sadam na Ghadafi hawakuonyeshwa hadharani kama inavyotafsiriwa na baadhi ya watu humu jamvini.
Inaweza kua Gadafi alionekana amekufa hadharani lakini sio kuonyeshwa hadharani.
 
Huyu ni marehemu siku nyingi sana
 
Kwakuangalia series inayoitwa 666 AVENUE PARK (Evil have an address). Naweza nikakubaliana na wewe.
 
Mkuu, kwanini mwili Wa Ghadafi ulionyeshwa hadharani. Kwani hakua muislam yule??
Fake news. Conspiracy theory. Blah blah blah.

Si amesema mange [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi jamani yale mazingira ya kuuawa kwa Osama nyinyi mnaona yana ukweli wowote kweli.
Yaani rais pamoja na jopo lake wanakaa sebuleni kuangalia eti leo Osama atakuwa anauawa live.
Alafu baada ya kumuua hakuna aliye muona tukasikia tu katupwa baharini.Aisee.
Osama yupo wasicheze na akili zetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…