Osalaleh jamani!!!!

Osalaleh jamani!!!!

PHP:
Nipo kipenzi sema tunapishana tuu mic you

Huko nyuma ulituaga sikuja kama utarudi mapema hivyo.............................
 
mmmhh..mim nikiwa nasoma posts za MR..avatar kwanza ndio huniteka then posts..kusema ukweli miguu ni mizuri..ila sijui kwa juu kuna shepu gani.
 
mmmhh..mim nikiwa nasoma posts za MR..avatar kwanza ndio huniteka then posts..kusema ukweli miguu ni mizuri..ila sijui kwa juu kuna shepu gani.

Hahaha huo ni mtihani nimekuachia
 
Afrika hakuna boyfriend - best friend!! kitu ikingia ndani ya maguu 18 ya mtu mzima no retreat no surrender. Hayo wanayaweza wazungu si a kina maganga
 
flebv8.jpg

Jumatatu imewadia nawatakia mwanzo wa wiki mzuri na mafanikio mema wknd yangu nilienda mtembelea my bf.
Hii ndo niliokutana nayo si vibaya kushare na wana JF

Mbona vimiguu vifupi sana, atakuwa 4ft nini?
 
Back
Top Bottom