Osalaleh jamani!!!!

Osalaleh jamani!!!!

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Posts
6,802
Reaction score
1,606
flebv8.jpg

Jumatatu imewadia nawatakia mwanzo wa wiki mzuri na mafanikio mema wknd yangu nilienda mtembelea my bf.
Hii ndo niliokutana nayo si vibaya kushare na wana JF

flebv8.jpg

Jumatatu imewadia nawatakia mwanzo wa wiki mzuri na mafanikio mema wknd yangu nilienda mtembelea my bf.
Hii ndo niliokutana nayo si vibaya kushare na wana JF

MR unasema hii ndio uliyokutana nayo kwa bf wako???? Au? Nami niwatakie wadau wiki njema kbs
 
Mmmh! Uzuri uko kwa jicho la mmiliki, not my style though.
 
ndio mitego yenyewe hiyo, ukimwi hauishi ng'ooooooo
 
Kwa kuangalia miguu,atakuwa ni mfupi halafu kame nona, na kitu kama cardio exercise hataki kusikia kabisa.Hapa ndio inapokuja saa nyingine tunaruka mkojo na kukanyaka.......(fill the space).
 
flebv8.jpg

Jumatatu imewadia nawatakia mwanzo wa wiki mzuri na mafanikio mema wknd yangu nilienda mtembelea my bf.
Hii ndo niliokutana nayo si vibaya kushare na wana JF

Ulikutana nayo ndani ya nyumba ya bf wako? Ni wifi yako? au mke/ mchumba mwenza?!
 
Du, pole sana, mtoto guu guu andika umeumia, napata picha na reception iko mwake. Tafuta mwingine tu dia.
 
Back
Top Bottom