Huu uhakiki umeleta Shida nyingine hasa Mwanza, watu wengi wamehakikiwa ila majina yao hayaonekani pande zote, imelazimu kuanzia ijumaa kupeleka vyeti Jiji na kwenye ma Wilaya, watumishi wengi hawajawekwa kwenye ile orodha ya watu waliohakikiwa tuseme ni uzembe wa wachapaji au ??
Mbinga
Lituhi SONGEA MOJA HIYO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyasaland
Huu uhakiki umeleta Shida nyingine hasa Mwanza, watu wengi wamehakikiwa ila majina yao hayaonekani pande zote, imelazimu kuanzia ijumaa kupeleka vyeti Jiji na kwenye ma Wilaya, watumishi wengi hawajawekwa kwenye ile
orodha ya watu waliohakikiwa
tuseme ni uzembe wa wachapaji au ??
Ya DSM naitaka
Orodha zilizowekwa ni orodha ya watuimshi wenye vyeti feki, watumishi wenye vyeti vyenye utata na Watumishi waliowasilisha vyeti pungufu yaani incomplete sasa unataka orodha ipi? Ukiona haupo kote maana yake utakua clean na clean list haiwekwi.
Swali zuri,Majina ya wenye vyeti feki central government wapi wakuu
Tupieni orodha ya nchi nzima. Mbona mmefanya siri utafikir ni uchawi.
Wekeni orodha kama kuna MTU anayo ya nchi nzima watumishi halali
Msipende kuishi kwa matukio.Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.