Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

Hapo hatari ni mkeo anaelalwa kizembe na sio hao watu.

As long as hajabakwa, hapo tatizo ni mwanamke.
 
kwani mwanamke ye hana akili mpaka aliwe? achungwe amekuwa limbuzi? kama ni malaya ni malaya tu.chamsingi ukimfumania timua tu usikubali kufuga limalaya nyumbani kwako
 
Usiwe siriaz kufuatilia!

Akiharibika anaharibika tu!

Kumchunga mtu asitumie maumbile yake kazi sana!!
 
1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia

Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.


View: https://youtu.be/mukEPwaGAOo

Umewahi kukaa ukatafakari na kujiuuliza ni kwa nini kama una mke ambae anakupenda kiasi kwamba kwa hiari yake aliamua kufunga ndoa nawe aamue kukuendea kinyume? Umewahi kujiuuliza hilo? Umewahi kujiuuliza na kama humuamini mwanamke ulie nae ni kwa nini umeamua kufunga nae ndoa? Umewahi kujiuuliza ni kasoro gani ulizonazo zilizomfanya mkeo wa ndoa aamue kutafuta mtu mwengine wa kumstarehesha kwa kuibia ibia wakati wewe upo nyumbani tayari kwa mapenzi moto moto wakati wote?
 
Back
Top Bottom