Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).

Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Membe awe waziri mkuu kupitia mlango upi wakati hana jimbo!! Jimbo la Mtama amepewa Nape!!!
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward

ur in a deep slee amka! magufuli ndie rais
 
Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,

Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?
 
Mkuu nilikuwa nackiliza clauds kuna mtia nia urais mmoja toka ccm jna cjampata vzr ila nimeckia akiitwa kwa jna la dk amesema hakubalian na kilichotokea na kusema chama hakina wanasheria na kwenda mbal zaid na kusema anaenda kudai ela zake cjui ni zle za kuchukua form na akasema acpopewa anakipeleka chama mahakaman, pj wakamuuliza vp atamuunga mkono maguful? Akaimba kanyimbo flan hv kisha akasema kila mtu atabeba msalaba wake yan hal si shwar kabisa huko mkuu
 
Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,

Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?
Mkuu amepata 87.% ya kura za wajumbe wa mkutano mkuu zilizopigwa, na CCM wana Historia ya Kuungana, usitegemee tofauti ya hiyo, Ndiyo maana Malecela (Mzee) aliwaambia Hakuna mtu maarufu kuliko chama , Chama kwanza.
 
Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,

Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?

Na Mimi Nakuuliza, Hivi Mkeo au Mumeo Katika Macho Ya Wengine Akina Sisi Wanaonekana Kuwa Na Mvuto? Magufuli Siyo Wa CCM Wote Tu Bali Ni Wa Watanzania Wote Na Akinihitaji Nitampigia Kampeni Nchi Nzima Na Kwa Ushawishi Wangu Mkubwa Nilionao Na Niliobarikiwa Nao Na Mwenyezi Mungu ATASHINDA Na KUFANIKIWA Tu. Ewe Mheshimiwa Rais Mtarajiwa Wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Kaza Kaza Kaza Na Hakuna Wa Kukutisha Huko Mbele Na Najua Yatasemwa Mengi Mabaya Juu Yako ILA Yapuuze Na Angalia Jinsi Ya Kutuongoza Watanzania Kwa Mafanikio Zaidi Ya Pale Mtangulizi Wako Rais Jakaya Mrisho Kikwete Alipoishia Na Endapo UTATAKA Ushirikiano Wangu Wowote Mimi Mathematician Gentamycine TAFADHALI Nitafute Na Kama Na Wewe Huwa Unakuwepo Humu JF Basi Karibu Katika PM Kule Tufanye Mambo Zaidi. Gentamycine Akipenda Mtu au Akikipenda Kitu Basi Ujue Hata Roho Mtakatifu, Malaika Wa Mbinguni Na Mwenyezi Mungu Mwenyewe AMEKIPITISHA Pia. Magufuli Songa Mbele Na ASIKUTISHE Kinshakupe Yoyote Kwani Tumeshawazoea Hao Na Wengi Wao Ni Wale Wale TEAM NIMEKATWA, NAUGULIA Na NINA HASIRA Kwani Sidhani Kama Ni UKAWA Kutokana Na Kwamba Hata UKAWA Wenyewe WAMESHAMKUBALI Jembe Dr. John Pombe Magufuli Na Wameazimia Wote Kumpigia Kura.
 
Urais ni taasisi siyo kampuni binafsi unaweza kufukuza kila siku wafanyakazi.
 
Wapinzani ukawa na wengine hawana nafasi ingekuwa kapita lowasa sawa lakini jembe magufuli,mtasubiri sana
 
Na Mimi Nakuuliza, Hivi Mkeo au Mumeo Katika Macho Ya Wengine Akina Sisi Wanaonekana Kuwa Na Mvuto? Magufuli Siyo Wa CCM Wote Tu Bali Ni Wa Watanzania Wote Na Akinihitaji Nitampigia Kampeni Nchi Nzima Na Kwa Ushawishi Wangu Mkubwa Nilionao Na Niliobarikiwa Nao Na Mwenyezi Mungu ATASHINDA Na KUFANIKIWA Tu. Ewe Mheshimiwa Rais Mtarajiwa Wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Kaza Kaza Kaza Na Hakuna Wa Kukutisha Huko Mbele Na Najua Yatasemwa Mengi Mabaya Juu Yako ILA Yapuuze Na Angalia Jinsi Ya Kutuongoza Watanzania Kwa Mafanikio Zaidi Ya Pale Mtangulizi Wako Rais Jakaya Mrisho Kikwete Alipoishia Na Endapo UTATAKA Ushirikiano Wangu Wowote Mimi Mathematician Gentamycine TAFADHALI Nitafute Na Kama Na Wewe Huwa Unakuwepo Humu JF Basi Karibu Katika PM Kule Tufanye Mambo Zaidi. Gentamycine Akipenda Mtu au Akikipenda Kitu Basi Ujue Hata Roho Mtakatifu, Malaika Wa Mbinguni Na Mwenyezi Mungu Mwenyewe AMEKIPITISHA Pia. Magufuli Songa Mbele Na ASIKUTISHE Kinshakupe Yoyote Kwani Tumeshawazoea Hao Na Wengi Wao Ni Wale Wale TEAM NIMEKATWA, NAUGULIA Na NINA HASIRA Kwani Sidhani Kama Ni UKAWA Kutokana Na Kwamba Hata UKAWA Wenyewe WAMESHAMKUBALI Jembe Dr. John Pombe Magufuli Na Wameazimia Wote Kumpigia Kura.

Fikiri upya
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward
Mkuu hiki usemacho no wachache watakao kuelewa. Wengi wanadanganyika na burudani zile za Tot na vijembe vyao. Ila wanaomjua Magufuli wameshaona hauwezi ushindani wa urais kwani hajiamini. Nikisema hajiamini watu watashangaa na kuona kuwa Magufuli anajiamini sana.
Ukweli ni kuwa angalia alivyokuwa anapenda kujinasibu kwa kumpa sana sifa za kujipendekeza kwa JK,huko ni kutojiamini. Pia mbwembwe za kazi huku ukihonga media pia no kutojiamini
 
alikuwa anaonekana mzuri sana kwa kuwa alikuwa chini ya watu wa2 na hasa kocha wake mkubwa pinda sasa now yeye ndio KInG .ataweza kuendeleza yale maamuzi yake ambayo some times hayana hata chembe ya busara??.

asiye kuwa na 200 ya kulipia kivukio kigamboni na apige mbizi.

Busara ya mzee magufuri ni kubwa kuliko wengi wenu humu ndani!
 
wakuu tukijiuliza ya kina sokoine tutayaona ya magufuli Unajua urais si maamuzi wala hisia za mtu mmoja mwenye title ya urais katika maendeleo la hasha ni mawazo ya mfumo mzima kuanzia mawaziri,jeshi,usalama na raia pia na ndo maana wenye hekima wakati neno eti hata kichaa anaweza kuongoza marekani au Urusi sikatai huenda anafaa tena sana ila kujiamini sana na kusahau nidhamu ya waliokuzunguka ndo yale yale ya kina kennedy na CIA naogopa sana kusalitiwa na kur yangu mwenyewe ndo maana na pata shida kidogo na kinachotisha ni ile zana ya Tumekuweka nchi yetu sasa 67% ya siasa inaongozwa na wafanyabiashara hapo ngoja nisitie neno nikaushe kimya ila ikumbukwe Kenya inapiga bao kwa sababu Kenyatta ni tajiri na hakuwekwa ila kama tutapata kiongozi aliyewekwa....MUNGU itizame Tanzania MUNGU itizame:glasses-nerdy: magogoni kuanzia 2015......2025
 
Back
Top Bottom