Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Tumieni akili kitendo cha kuwa Rais siyo tiketi ya kuwazba watu midomo dhidi ya maovu unayoyafanya lazma yataanikwa tu. nyie mnamuogopa subirin kazi ianze atakavyokalishwa ndo mtajua tanzania ina wanasiasa au wanaharakat wasiotishiwa nyauu
 
Membe alisema kuwa akira rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf mebers, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa waziri mkuu)

Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?

Mkuu usifanye mas-hara na maisha ya watu. Mimi moyo ulikuwa unataka kutoka nilipokuwa nafungua bandiko lako kuona kama jina langu limo. - Just kidding.

Hii orodha ni ya muhimu na alienayo atuwekee hapa. Najua kuna wengi (UKAWA na CCM) matumbo joto saa hizi.

Kwa maoni yangu nadhani tayari wana diplomasia kama mzee wa Msoga wanamuasa aingize diplomasia zaidi katika utawala wake kuliko maguvu. Atafute waziri mkuu mwenye itikadi ya PIGA TU afanye his biding.

Unajua Raisi yeye ni:
Commander in chief,
Consoler in chief,
Uniter in chief,
Diplomat in chief,
Reconciler in chief,
etc.,

Kwa hiyo Magufuli lazima awe more diplomatic kwenye utawala wake.

Kuna sababu nyingi kwa nini Foreign Ministers wengi wanakuwa viongozi wazuri wa nchi zao kwa sababu wanatumia diplomatic skills kuleta consensus kwenye mifarakano - ala Kikwete. Membe na Migiro hawakuwa na sifa za kuwashinda UKAWA tu lakini wao wangekuwa natural candidates kuwa maraisi. Nategemea Mangufuli atapata ushauri mzuri tu kutoka kwa Kikwete.

Kwa hiyo wale mahasimu wa Magufuli msihofu, yeye atakuwa raisi wenu pia - Inshaalah.
 
Tumieni akili kitendo cha kuwa Rais siyo tiketi ya kuwazba watu midomo dhidi ya maovu unayoyafanya lazma yataanikwa tu. nyie mnamuogopa subirin kazi ianze atakavyokalishwa ndo mtajua tanzania ina wanasiasa au wanaharakat wasiotishiwa nyauu

Upo sawa mkuu
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward

unamaananisha nini humo mkuu?
 
Sera ya VISASI inaendelea na itazidi kuiacha nchi pabaya zaidi,kuondoa haya ni bora watanzania wote tukaamua kwa kauli moja kuwaweka wapinzani,na hii itasaidia kurudisha nidhamu serikalini na Bungeni........
 
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).

Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?

wanaokubali kukosolewa ndio huwa bora!! we unadhani hizi ni enzi za kina mkwawa.
 
Nakutaarifu ukweli, tafakari post yako uichambue uone kama ina intellectual analysis. Anyway, sijui kama naongea na mtu wa vipi. Inaelekea tunaweza kuwa tunapishana sana. Kwa heri

Ndio ujue kuwa unapo post kitu kwa mwenzako na we we unaweza kuletewa kama hicho
 
Sipati picha itakuwaje kwa wale waliobadili namba zinazoanzia na ST... DFP... na kuwa T... Kwa manufaa binafsi
Umenikumbusha, asante mkuu, kuna credit nyingine za huyu jamaa tulikuwa tumezisahau. napata matumaini na huyu jamaa.Ila kuna minong'ono kuhusu makamu. Kama ni kweli basi tusitegemee mapya!
 
alikuwa anaonekana mzuri sana kwa kuwa alikuwa chini ya watu wa2 na hasa kocha wake mkubwa pinda sasa now yeye ndio KInG .ataweza kuendeleza yale maamuzi yake ambayo some times hayana hata chembe ya busara??.

asiye kuwa na 200 ya kulipia kivukio kigamboni na apige mbizi.
 
Ni maneno ya jeuri kubwa sana na kashfa kubwa kwa wana wa kigamboni
 
Hatuwezi kushikiwa akili ili tuwachague wapinzani,wapinzani mmekwama mnahitaji 4WD,poleni
 
Back
Top Bottom