Kwani kuna Misikiti huko !? .......... wanafundishwa na kusaidiwa na watu waliopata. komunio na kipaimara na ubarikio. libeva
Sasa mbona watu waliopata kipaimara hawapo kwa list!! Lazima wanafundishwa na wazee wa ubwabwa na ndio maana list imejaa wao tu. Ukwepaji Kodi na uuzaji unga ndio fan yenu aibu yenu
Tuachen ubish na kuleta udin usio na maana kiuhalisia wafanya biashara weng wakubwa ni wa asia, angalia bhakresa, maji, rostam, abinda singseth na weng, kwa hiyo inapojitokeza inshu ya kibiashara upande huo watakua wengnimekuelewa ila humu tunataka kodi ya kaizari sio kwenda mbinguni-ndio maana tunasema kwanini majina fulani yanatamalaki? Hili swali linatutafutia majibu na mikakati ya kukomesha. wapo waliojibu kuwa majina ni hayo kwakuwa asili ya wahusika ni huko asia ,sasa swali jingine litakuwa mbona hao wa asia tu ndio wanapewa feight licence atakuja mwingine na majibu labda kamishna mkuu alikuwa-------au mbona walikamatwa bandari ni wanyakyusa wataweza kukujibu kuwa waziri alikuwa-----ndio kinachofanyika na hatuangalii dini wala kabila hayo ni matabaka yetu we can handle
Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?
Wanao kwepa kulipa kodi ni watu wenye majina yenye ability ya Asia na wa Na wanao sababisha ni watu wenye majina ya ulaya
Hamuwezi kuchangia bila udini? Rushwa ina sehemu mbili mtoaji na mpokeaji.Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?