Orodha ya wakwepa kodi bandarini hii hapa

Tumekuwa tukisikia malalamiko toka upande wa pili juu ya mfumo kristo kutawala na kukandamiza ule upande mwingine lakini ukiangalia records na Data za kiuchumi ule upande unaolaumu na kuhisi unahujumiwa ndio unaongoza na kuhodhi asilimia kubwa ya uchumi wa nchi, na hata majipu mengi tena yaliyokaa vibaya ni ya upande huo. inashangaza!?

Mkuu huko unakoelekea hakufai kabisa kwani hata rwanda walinza hivyo hivyo
 
Nawashangaa sana wanaoleta udini katika jambo hili lakini ni bora kama huna cha kuongea ukae kimya ili heshima yako iendelee kuwepo"
 
haya majina yapo kama selected yaani 96% upande huu
 
Acha habari za udini hazina tija kwetu! Na maafisa wa tra na tpa waliokuwa wakiwasaidia nao ni wa upande upi?

Afadhali ungesema, katika majina hayo hamna jina la mwanamke au kama yapo basi ni machache tu!
 
Kupiga marufuku sio solution,cha msingi hao watu wote wanajulikana na vitega uchumi vyao vinajulikana,wapigiwe hesabu waliyokwepa Kama kodi wakishindwa watahifishe mali zao,mfano Fida Hussein Ana majengo hadi posta mpya,wafanyabiashara wengi wakubwa ni wahujumu uchumi,hawalipi kodi.
 
Kuna jamii fulani ya binadamu wa kuhamia hapa nchini kwetu ambao asili yao si Afrika, hawa kodi kwao ni dhambi. Kwa kifupi hawafuati hata sheria za barabarani
 
Majina MENGI Ni........ Mashekh wetu watubisheni hao warudisheni misikitini
 
Acha habari za udini hazina tija kwetu! Na maafisa wa tra na tpa waliokuwa wakiwasaidia nao ni wa upande upi?

Afadhali ungesema, katika majina hayo hamna jina la mwanamke au kama yapo basi ni machache tu!

hata ukisema hayo ya mwanamke ni ubaguzi pia-labda tusiya analyse tuyatazametu-mbaguzi ni huyu aliyeyaaleta atupie na hayo ya upande ule-maana tumeaminishwa kuwa ni wachagga , wanyachusa na wahaya ndio vinara-tusione aibu tuchambue tu katika kila engo kisha tusameheane-hata kwenye uchaguzi tulitumia ukabila ukanda matusi badae tumesema yaishe na yameisha nafikiri
 
Nikweli mkuu, ila yangu ilikuwa kusema kwamba, wanawake wameonyesha kuwa waaminifu katika hiyo ishu kuliko wanaume!

Afadhali hata ya ukabila Tanzania, maana yapo karibu 120 hivi! Mhehe akikwaruzana na msandawe au mchaga bado haiwezi kuligawa taifa! Ila udini, ni hatari kwani karibu kila dini ina waumini 50% ya raia wote nchini...chuki ambazo hazina sababu ya msingi mkuu!

Wewe utaenda mbinguni kwa matendo yako binafsi, na siyo kwa kuwa yule yupo dini yangu au siyo dini yangu!
 
nimekuelewa ila humu tunataka kodi ya kaizari sio kwenda mbinguni-ndio maana tunasema kwanini majina fulani yanatamalaki? Hili swali linatutafutia majibu na mikakati ya kukomesha. wapo waliojibu kuwa majina ni hayo kwakuwa asili ya wahusika ni huko asia ,sasa swali jingine litakuwa mbona hao wa asia tu ndio wanapewa feight licence atakuja mwingine na majibu labda kamishna mkuu alikuwa-------au mbona walikamatwa bandari ni wanyakyusa wataweza kukujibu kuwa waziri alikuwa-----ndio kinachofanyika na hatuangalii dini wala kabila hayo ni matabaka yetu we can handle
 
Tumekuwa tukisikia malalamiko toka upande wa pili juu ya mfumo kristo kutawala na kukandamiza ule upande mwingine lakini ukiangalia records na Data za kiuchumi ule upande unaolaumu na kuhisi unahujumiwa ndio unaongoza na kuhodhi asilimia kubwa ya uchumi wa nchi, na hata majipu mengi tena yaliyokaa vibaya ni ya upande huo. inashangaza!?

Na huo upande wa kwanza unao lalamikiwa ndio wenye kuhodhi nafasi zote muhimu za Serikali na zimekuwa zikisaidia upande wa pili kwa kuwa walaji wakubwa wa rushwa ! Sahihi zao, tamaa zao na ubinafsi wao ndio uliofikisha Taifa hapa Kabembe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom