Orodha ya wakwepa kodi bandarini hii hapa

Orodha ya wakwepa kodi bandarini hii hapa

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
12308336_192958844381241_5387710833292377772_n.jpg

12289671_192958311047961_6087371201091958197_n.jpg

inaendelea

12314026_192958721047920_7595664309891456353_n.jpg

12345686_192958381047954_6816114012791117168_n.jpg

Orodha nyingine inakuja wiki ijayo
 
Kodi haikwepi bandarini tu na sehemu nyingine kibao
 
Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?

Wanao penda mteremko ni hao wa upande wa kwanza. Ni wala rushwa wa wazuri na ndio wenye kushika madaraka makubwa makubwa. Wepesi wa kutoa sadaka kubwa kubwa mazabahuni. MFIZIGO
 
Last edited by a moderator:
Kazi kubwa aliyonayo Mh.JPM ni kuzipitia upya nyaraka za serikali ikiwa na mfumo mzima wa malipo ya kodi,ikiwezekana uwe full Teknohama na hivi sasa tuna mkonga wa raifa. Vile vile wananchi na wafanya biashara waelimishwe umuhimu wa kulipa kodi. Pia kodi kama zitalipwa na watu wote wanaostahili kodi itapungua na kufanya ilipike kwa hiari.
 
Kodi haikwepi bandarini tu na sehemu nyingine kibao

TANZANIA ITAENDESHWA VYEMA NA KODI HASA ZA;-
BANDARI ZETU
VIWANDA VYETU HASA VYA BIA,SODA,SIGARA,MADINI,GASI KWA ASILIMIA 100,
hivi vingine ni vikodi vidogovidogo tena vingi vinatakiwa KUFUTWA au kupunguzwa ili kumpunguzia mtanzania wa kawaida mlalahoi mzigo mzito.
 
Huwezi kuzuia kampuni (ya uwakala) kufanya kazi ghafla hivyo? Suppose wameishaingia mkataba wa kuki-clear mzigo ulioko melini tayari. Hawa watendaji wa chini wapewe darasa la tahadhari za kisheria vinginevyo watasimamisha uchumi wa nchi kwa hofu zao juu ya tinga tinga.
 
Unajua kuna kampuni ngapi za uwakala nchi hii? Uchumi hauwezi kusimama kwa vikampuni vingapi hivyo kusimama.
 
Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?

Majina ya upande wa kwanza yako sector za uma na serikalini. Kwa sababu ya upendeleo katika kutowa elimu na ajira. Refer EPA, Escrow, Richmond, Radar scandal, na hawajaguswa
 
Huwezi kuzuia kampuni (ya uwakala) kufanya kazi ghafla hivyo? Suppose wameishaingia mkataba wa kuki-clear mzigo ulioko melini tayari. Hawa watendaji wa chini wapewe darasa la tahadhari za kisheria vinginevyo watasimamisha uchumi wa nchi kwa hofu zao juu ya tinga tinga.
Sisi tunasumbuka na wakwepa kodi na si vinginevyo..kama nchi itasimama kwa sababu wakwepa kodi kushughulikiwa ni bora isimame tuu..! Tunajua majipu yanauma lakini tunaomba mtuvumilie...
 
Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?
Hata mmi nimejiuliza hili swali. Yaan mpaka unajiuliza why ni nasaba ya aina moja?
 
Tatzo Tanzania kuna utitiri wa makato unaweza ukajikuta unagawana nusu kwa nusu faida na serikal
 
TANZANIA ITAENDESHWA VYEMA NA KODI HASA ZA;-
BANDARI ZETU
VIWANDA VYETU HASA VYA BIA,SODA,SIGARA,MADINI,GASI KWA ASILIMIA 100,
hivi vingine ni vikodi vidogovidogo tena vingi vinatakiwa KUFUTWA au kupunguzwa ili kumpunguzia mtanzania wa kawaida mlalahoi mzigo mzito.

mkuu vipi sector ya mabenki, makampuni ya simu, na makampuni ya kitalii hayana nafasi hapa
 
Tumekuwa tukisikia malalamiko toka upande wa pili juu ya mfumo kristo kutawala na kukandamiza ule upande mwingine lakini ukiangalia records na Data za kiuchumi ule upande unaolaumu na kuhisi unahujumiwa ndio unaongoza na kuhodhi asilimia kubwa ya uchumi wa nchi, na hata majipu mengi tena yaliyokaa vibaya ni ya upande huo. inashangaza!?
 
Back
Top Bottom