Orodha ya wakwepa kodi bandarini hii hapa

Orodha ya wakwepa kodi bandarini hii hapa

ni wakati sasa kwa jiji la mbeya kuzuia udhamini wa binslum kwa timu ya mbeya city baada ya kubainika mhusika ni mkwepa kodi sugu .
 
Majina MENGI Ni........ Mashekh wetu watubisheni hao warudisheni misikitini




Majina mengi ya walio ruhusu wakwepa kodi kwa kula rushwa ni ya waliosomeshwa na Kanisa. Wana vyeti vya kipaimara na wamepata ubarikio na komunio meca
Mkuu kama Masamaki ana sali Kweli? Na hawa tusiwaachie mahakimu tu, wachapwe Viboko. Mbele ya uma
 
Last edited by a moderator:
Mbona vitu vikitoka zanzibar kuja bara vinalipiwa ushuru kotekote?
 
Mkuu kama Masamaki ana sali Kweli? Na hawa tusiwaachie mahakimu tu, wachapwe Viboko. Mbele ya uma[/QUOT

Na hao wenye majina Kiislaam si Maimamu Msikitini bali ni wafanya biashara, Uislaam ni Uadilifu. Nenda Dubai kwenye watu wanao ogopa dhulma. Watu hawafungi maduka wakati wa kuswali. meca
 
Last edited by a moderator:
Mbona majina mengi swala 5

Walio wasaidia kufanikisha ukwepaji kodi kwa kupokea rushwa ni wale wenye kipa imara, komunio na ubarikio ! wengine wamesoma seminari
Boma-e
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kama game kati ya beauty and the beast, the beast like dirty because dirty bring them results they highly needed and then go back to their communities spreading lies and how bad the system is while behind they're ones who are making majority of the people suffer

And the beaty takes it all ! Kabembe
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndio napata picha sasa maana kuna kampuni hapo ya tajiri mmoja wa moshi huwa inasemekana yuko joint venture na Riz
 
Katika upumbavu mkubwa ambao baadhi ya wachangiaji wa uzi huu, kujadili ni kuhusisha UDINI kwenye ukwepajiwa kodi, ukiona lofa kati ya molafa waliopo huu anaendekeza udini, rangi,ukabila na jinsia, ujue anahitaji ukombozi wa utumwa wa FIKRA, kwa matibabu katika gereza la wenye matatizo ya AKILI la ISANGA DODOMA.
 
Duh! Wamejaa kina Swalehe, Salum na kaka zao! Hii balaa, kila ovu! Hata kutolipa kodi Jarman!
 
Duh! Wamejaa kina Swalehe, Salum na kaka zao! Hii balaa, kila ovu! Hata kutolipa kodi Jarman!

Umesahau akina John, Paulo na Joseph ndio wanao wafundisha kukwepa kwa malipo ya rushwa (maana hao ndo wamesoma saana !) share
 
Last edited by a moderator:
Akina Sheikh mbona wengi

Kwani kuna Misikiti huko !? .......... wanafundishwa na kusaidiwa na watu waliopata. komunio na kipaimara na ubarikio. libeva
 
Last edited by a moderator:
Mbona sijaona kampuni za Sirili Mushi alie uwa Nasako
nazo ni
CUSNA INVESTMENT LTD
OCEANLIK SHIPPING SERVICERS LTD
OCEANLAND TRANSPORT LTD
 
Majina ya upande wa kwanza yako sector za uma na serikalini. Kwa sababu ya upendeleo katika kutowa elimu na ajira. Refer EPA, Escrow, Richmond, Radar scandal, na hawajaguswa

Hongeraa na makanisa mengi yamejengwa kwa hela za haram
 
usisahau wanaopokea rushwa pale getini ni huo upande wa kwanza, na huo ndo umeenea kila idara sio bandarini tu hata huku mitaani ambao wako bize kupokea rushwa. na umasikini tulionao ni kwa sababu yao kwani tangia uhuru ndo wamejaa karibia kila idara za utumishi wa umma lakini wanachokifanya zaidi ni wizi kuliko kuwatumikia wananchi. kwa taarifa yako kama hao wa upande wa kwanza wasingekuwa wala rushwa basi hiyo mizigo isingepita pale bandarini bila kulipiwa kodi maana hao unaowasema hawaendi kuchukua mizigo kwa bunduki pale bandari. uroho na tabia ya ula urushwa ya hao wa upande wa kwanza ndo chanzo cha haya yote. magufuli awafukuze wote wawekwe watu waadilifu pale wenye hofu ya Mungu.

Mbona majina mengi ni yale ya upande wa pili? Au hao ndiyo wapenda vya mteremko?
 
Back
Top Bottom