Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,642
- 112,769
Apate na mume sasa....Amenjokate Mungu amuangazie tu...hana makuu
Apate na mume sasa....Amenjokate Mungu amuangazie tu...hana makuu
9. Rosemary ( Dc same)Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k
1. Komanya kitwala ( dc Tabora)
2. Lengai ole sabaya (dc Hai)
3. Joseph mkude ( dc ileje)
4. Jerry muro ( dc Arumeru)
5. Asia abdallah ( dc kilolo)
6. Magembe (dc Ukerewe)
7. Mgoyi ( dc kilosa)
8. Kenan kihongosi ( dc Arusha)
Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Shem sasa apewe Mkoa!Natamani kumuona DC Jokate akipewa nafasi zaidi, anachapa kazi pia ni mbunifu kwenye uongozi wake....
Hongera kwake
Namba moja, mbili na tatu zote anakamata yeye.if I were to mention them by order who were to be slashed out, i would list the HAI DC at the most top margin of the page.
nakazia hapa, uenda ana mengi sana ya kuwafanyia wanachi naomba apewe mkoa itapendeza zaidi, tukitoa zile rumors kuhusu mahusiano na mh ila alionyesha utofauti sana zaidinya hao waliowazoefuNatamani kumuona DC Jokate akipewa nafasi zaidi, anachapa kazi pia ni mbunifu kwenye uongozi wake....
Hongera kwake
😃 Shem kwa mwenda zake? Au bwana harusi kapatikana?Shem sasa apewe Mkoa!
Mama Rais ni mtu wa haki, hatopenda maumivu kwa watu wengi. Yawezekana asiwatoe hata mmoja akawa re shuffle na kuwapa ONYO NA KARIPIO.
Vile watakuwa wamepata second chance watakuwa na nidhamu.
Everyday is Saturday...............................
Shetani lileOle sabaya ajiandae akipona achinje kondoo mweupe afanye dua.
Ameshiriki sana kufilisi na kuua biashara hapo HaiNamba moja mpaka ishirini ni ole saa mbaya.
Mwalimu na mwanafunzi wake au?? 😂Kama sabaya anaachwa basi na Makonda arudishwe
Siyo kondoo mwekundu??😂Ole sabaya ajiandae akipona achinje kondoo mweupe afanye dua.
Ata asipo mtengua laana zitamtengua kama mwenda zakeMwalimu na mwanafunzi wake au?? 😂
Jamani muacheni Ole wenye Saa baya, huko aliko tumbo litakuwa linamkata!
Everyday is Saturday................................