Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Mwendazake alikusanya wahuni tu na kuwapa madaraka hata bila kuwa na sifa zozote.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Gondwe na yeye alikuwa akipenda publicity huku akifokea watu kama amekunywa balimi za ofa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Bado kuna oradha ya Wakuu wa Mikoa:
1. Chalamila.......RC MBEYA.
2. Ally Happy.....RC IRINGA.
3. .....!
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Yule manz dc wa kigambonino,yupo hapo ???

Yupooooo

Yupo wapi , mbona simuoni
 
Mama Rais ni mtu wa haki, hatopenda maumivu kwa watu wengi. Yawezekana asiwatoe hata mmoja akawa re shuffle na kuwapa ONYO NA KARIPIO.
Vile watakuwa wamepata second chance watakuwa na nidhamu.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Ah siamini yaan ktk safu hii ya ma Dc ma Ded lazima hapo.mama.ata wapiga chini tena wengi sanaaa ma RC ndio ata wa reshuffle.kijana kama lengai hukonajiandae tu kupanga assets zake zilizopo ofisin
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Wamechelewa watupwe nje mara moja.
 
Ongeza RCS wote, first Chalamila
 
Me Nadhani Yule Sabaya Ahojiwe achunguzwe ijulikane haya yaliyosemwa ameyafanya kwa kiburi gani..akamatwe
 
Back
Top Bottom