Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai ole sabaya (dc Hai)

3. Joseph mkude ( dc ileje)

4. Jerry muro ( dc Arumeru)

5. Asia abdallah ( dc kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc kilosa)

8. Kenan kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
9. Rosemary ( Dc same)
10. Dc Geita mjini
11. Dc chato
12. Dc handeni
13. Dc siha
14. Dc ilemela
15. Dc kibaha
16. Dc igunga
 
Uungu mtu haufai cha msingi ni wanaopewa dhamana kufanyakazi kwa bidii na kusimamia sheria bila muhemko na sifa za kijingajinga,wengi hawana ustaarabu ni sifa tuu na majigambo yasiyo na maana.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom