Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

nakazia hapa, uenda ana mengi sana ya kuwafanyia wanachi naomba apewe mkoa itapendeza zaidi, tukitoa zile rumors kuhusu mahusiano na mh ila alionyesha utofauti sana zaidinya hao waliowazoefu
Mama Ikikupendeza apewe mkoa huyu Dada, naona ana mengi ya kuwafanyia wananchi, ni wazo langu tu.
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Muongeze DC wilaya ya Kasulu (Kigoma)
 
Back
Top Bottom