Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

Wengi mnaopendekeza hao Wateule kupokonywa tonge mnaongozwa na Chuki, Husda na Wivu tu hamjabainisha madhaifu yao Kiutendaji.
Vijana mmepewa Madaraka lkn Mnaongoza kwa Majunguuu na Roho za kwanini! Hii si dalili njema kwetu Vijana wa Kiumeee! Nasikitika sana Jando sijui zimeenda wapi Wanaume wamekuwa na Tabia za Kike kike tu!
 
Bi mkubwa hatabiriki unaweza shangaa hao wakapewa URC kabisa..

Ila mpaka sasa naona ameanza vyema
Bi mkubwa hawezi kuwapa uRC hao wahuni tena wakae kimya kabisa asije kuchefukwa na roho kesho akawazingua
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Hao wote umewataja ni pisi kali
 
Hahaha "ukizingua tunazinguana"
 
Kichwa maji,wewe hawa wakuu wa wilaya woote ubovu wa ni upi?,mbona wajinga wanazidi kuongezeka if?
 
Hii ni orodha ya wakuu wa wilaya walioaminiwa na hayati magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo ubabe, majivuno, ukatili, migogoro na watumishi, wananchi n.k

1. Komanya Kitwala ( dc Tabora)

2. Lengai Ole Sabaya (dc Hai)

3. Joseph Mkude ( dc Ileje)

4. Jerry Muro ( dc Arumeru)

5. Asia Abdallah ( dc Kilolo)

6. Magembe (dc Ukerewe)

7. Mgoyi ( dc Kilosa)

8. Kenan Kihongosi ( dc Arusha)

Kama upo kwenye orodha hii kuanzia sasa badilika kabla hujazinguliwa na Bi mkubwa
Ongeza Ally Hapi (RC Iringa) na Albert Chalamila (RC Mbeya)
 
Back
Top Bottom