Sasa uyu ndege akilewa anapeperukaje??Kuna wanyama wanaitwa komba wanakunywa ulanzi balaa, pamoja nao kuna ndege wanaitwa ngaruniongo (sijui jila lao la kitaalamu) wana rangi nyingi sana zinazong'aa nao wamo sana
View attachment 1606325
Hata sijui mkuu labda wagemaji wanajua zaidiSasa uyu ndege akilewa anapeperukaje??
Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea kitone cha mvinyo ili wasione uyu jamaa mchoyo wa mvinyo.. ila uwa aipiti dk 5 washa nyausha ile tone la mvinyo ajabu nikiwaekea tone la maji wana sunya mpaka naskia.[emoji23]Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi.
Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!!
Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea kitone cha mvinyo ili wasione uyu jamaa mchoyo wa mvinyo.. ila uwa aipiti dk 5 washa nyausha ile tone la mvinyo ajabu nikiwaekea tone la maji wana sunya mpaka naskia.
Nikakaa nikajiuliza kumbe sio ndugu yangu pekee mshana jr ambae lazima achambe koo kabla ya kulala kumbe hata sisimizi hupendelea kuchamba koo kabla ya kulala.
Ninaushaidi unaweza na wewe ukaanza fwatilia utagundua sisimizi huwa ndo mdudu kiongozi kwa ulevi.
Je mdudu gani mwingine mlevi kama sisimizi ?
Picha ya sura ya sisimizi akiwa kasha piga sip kazaa kwa wale ambao awaifahamu hiyo apo.
View attachment 1606208
Picha ya sisimizi kwa wale ambao awaifahamu hi apa
View attachment 1606210
Na hawa wanatabia za kilevi huwa wanapenda mno kushirikiana
Drink beer save water..
Humming bird kwa lugha ya kibeberuKuna wanyama wanaitwa komba wanakunywa ulanzi balaa, pamoja nao kuna ndege wanaitwa ngaruniongo (sijui jila lao la kitaalamu) wana rangi nyingi sana zinazong'aa nao wamo sana
View attachment 1606325
Huyo sisimizi alikunywa bia ngapi? Manake amechakaa hatariNdugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi.
Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!!
Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea kitone cha mvinyo ili wasione uyu jamaa mchoyo wa mvinyo.. ila uwa aipiti dk 5 washa nyausha ile tone la mvinyo ajabu nikiwaekea tone la maji wana sunya mpaka naskia.
Nikakaa nikajiuliza kumbe sio ndugu yangu pekee mshana jr ambae lazima achambe koo kabla ya kulala kumbe hata sisimizi hupendelea kuchamba koo kabla ya kulala.
Ninaushaidi unaweza na wewe ukaanza fwatilia utagundua sisimizi huwa ndo mdudu kiongozi kwa ulevi.
Je mdudu gani mwingine mlevi kama sisimizi ?
Picha ya sura ya sisimizi akiwa kasha piga sip kazaa kwa wale ambao awaifahamu hiyo apo.
View attachment 1606208
Picha ya sisimizi kwa wale ambao awaifahamu hi apa
View attachment 1606210
Na hawa wanatabia za kilevi huwa wanapenda mno kushirikiana
Drink beer save water..
Hawa komba nimewaona upareni sana na uchagani ila wabaya zaid kwenye ndiziKuna wanyama wanaitwa komba wanakunywa ulanzi balaa, pamoja nao kuna ndege wanaitwa ngaruniongo (sijui jila lao la kitaalamu) wana rangi nyingi sana zinazong'aa nao wamo sana
View attachment 1606325