Mkuu umepata copy za James Hardley Chase?Nanyaro una novel za James Hardley Chess?
13 a monk who sold his FerrariMkuu shukran sana,
Binafsi kwa mwaka huu nimesoma vitabu vifuatavyo
1. Rich Dad Poor dad
2. Cashflow quadrant
3. Pesa zako zinanuka
4. A Coffin from Hong Kong
5. Nyuma ya Panzia
6. Alfu lela ulela Kitabu cha 1
7. Njama by A. E. Musiba
8. Hofu by A.E. Musiba
9.kikosi cha kisasi by A. E.Musiba
10.Mbali na Nyumbani by Adam shafii
11. Haini by Adam Shafii
12. Mtambo wa mauti by Ben R Mtobwa
13. A man who sold his ferrari
14.
Mkuu umepata copy za James Hardley Chase?
Kama bado nijulishe naweza kukurushia softcopy.
Kuna uzi mmoja uliandikwa na jamaa anajiita LIBRARIAN nafikiri hivi vitabu viliwekwa soft copies za kumwaga.Not yet sir.
Pitia huu uzi mkuuNot yet sir.
Mkuu hao wote wameshakuona we ndio fursa ya wao kuendelea kiuchumi.Mkuu mawazo yako ni potofu kabisa.
Katika list aliyotoa Nanyaro hapo juu kuna kitabu kimeandikwa na bilionea Peter Thiel.
Bilionea Bill gates huwa anatoa list ya vitabu alivyosoma kila mwaka. List ya 2018 hii hapa
5 books I loved in 2018 | Bill Gates
Bilionea Elon Musk amejifunza mambo mengi sana kwa kujisomea peke yake vitabu mbali mbali vya engineering
Bilionea Zuckerberg alianzisha program ya Kujisomea kitabu kimoja kila mwezi
So Masikini peke yake ndio anaweza akawa hajisomei.
Kweli ukitaka kumtawala mtu mweusi weka maarifa kwenye kitabu
Vitabu anagawa bure?Binafsi nisingemjibu
Mengi tu Tajiri wa Tanzania ametuandikia kitabu!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Mimi sidhani kama mafanikio ya maisha yanaweza kupatikana kwa kusoma jinsi wengine walivyofanya mpaka wakafanikiwa. Formula ya kufanikiwa iko moja tu: kufanya kazi kwa bidii na akili huku ukiwa na nidhamu ya matumizi. Hata hzi semina za kufundisha ujasirimali mimi sioni kama zinasaidia. Ila kusoma vitabu kwa nia ya kupanua mawazo na kuelimika ni muhimu sana sana na mtu anapata elimu kubwa kuliko hata ya darasani!Vitabu anagawa bure?
Tangu uanze kuvisoma umesha msogelea sogelea kwa utajiri.
We kama unategemea kutoka kwa kusoma vitabu vya Mengi muulize yeye ni vitabu gani vilivyompatia utajiri.
Narudia,
Wenye muda wa kusoma mlolongo wa vitabu ni watu wavivu kufukiri na tegemezi kimawazo.
Na watu kama nyie huwa mnaiahia pabaya na misongo ya mawazo.
Acheni kudanganywa na wazungu.
Waulize vijana wangu pale kariakoo wanaokimbiza nani anasoma hayo mavitabu yenu au mwenye muda huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are right!!!!!Vitabu anagawa bure?
Tangu uanze kuvisoma umesha msogelea sogelea kwa utajiri.
We kama unategemea kutoka kwa kusoma vitabu vya Mengi muulize yeye ni vitabu gani vilivyompatia utajiri.
Narudia,
Wenye muda wa kusoma mlolongo wa vitabu ni watu wavivu kufukiri na tegemezi kimawazo.
Na watu kama nyie huwa mnaiahia pabaya na misongo ya mawazo.
Acheni kudanganywa na wazungu.
Waulize vijana wangu pale kariakoo wanaokimbiza nani anasoma hayo mavitabu yenu au mwenye muda huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina softcopy mkuu. Nimebahitika tu kuwa sehemu ambayo ina library zenye vitabu vya kila aina na mtu unaazima ukimaliza unarudisha. Mimi ni mpenda kusoma vitabu na huwa na enjoy mno naposoma. Ukiweza kupata na hivi soma hutajuta:Mkuu was navyo jamani mtuwekee soft copy tafadhali
Salaam wanabodi
Wakati mwaka ukielekea Ukingoni yatupasa kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa neema na rehema zake.Ni ukweli kuwa ametubariki kuliko yale tunayostahili
Nawapongeza wale ambao wanatumia muda wao kujisomea,kwenye vitabu kuna maarifa mengi,Natoa rai kwa wale ambao bado hawana utaratibu wa kujisomea kuanza mwaka 2019 kwa kujisomea ili kupata maarifa mapya.
Hii ndio list ya vitabu vyangu ambavyo nimesoma kwa mwaka 2018 pamoja na kusoma nimechambua baadhi,kimsingi uchambuzi ni raha ya ajabu
1.Team of Rivals. by Doris Kearns
2.Rise of IS IS. by David French & Jordan Sekulow
3.Fire & furry. by Michael Woiff
4.Devils Bargain by Joshua Green
5.Behind the presidential curtain.by Noble Marara
6.Leadership in turbulent times by Doris Kearns
7.Red Notice by Bill Browder
8.Third door by Alex Banayan
9.The King of Oil.By Marc Rich
10.Why mars vs Venus Collide by John Gray
11.Venture deals by Brad Feld
12.Bloodlands by Timothy Snyder
13.Black Earth by Timothy Synder
14.Hitler & Stalin by Allan Block
15.The road to Unfreedom by Timothy Synder
16.Fascism a Warning by Madeline Albright
17.Zero to One by Blake Master & Peter Thiel
18.Start with WHY by Simon Sinek
19.The power of Habit by Charles Duhigg
20.The hard thing about Hard Thing by Ben Horowitz
21.Love in the time of Cholera by Gabriela Marquez
22.Water for Elephants by Sara Cruen
23.How to make Impossible Possible
Mkuu shukran sana,
Binafsi kwa mwaka huu nimesoma vitabu vifuatavyo
1. Rich Dad Poor dad
2. Cashflow quadrant
3. Pesa zako zinanuka
4. A Coffin from Hong Kong
5. Nyuma ya Panzia
6. Alfu lela ulela Kitabu cha 1
7. Njama by A. E. Musiba
8. Hofu by A.E. Musiba
9.kikosi cha kisasi by A. E.Musiba
10.Mbali na Nyumbani by Adam shafii
11. Haini by Adam Shafii
12. Mtambo wa mauti by Ben R Mtobwa
13. A man who sold his ferrari
14.
3,4,5 unaweza viweka hapa pia nami nifaidi.1.The Holly Bible kutoka Mwanzo mpaka Ufunuo(nilianza November mwaka jana nikamalizia June mwaka huu).
2.Rich dad Poor dad by Robert Kayosaki
3.Cash quadrant flow by Robert Kayosaki
4.Retire young Retire rich by Robert Kayosaki
5.Think and Grow Rich by Napoleon Hill
Mwakani nitasoma zaidi spiritual books nikianza na vitabu vya dr. Myles Munroe.
Mkuu namie namuomba Chase kwakwelii..!!Mkuu umepata copy za James Hardley Chase?
Kama bado nijulishe naweza kukurushia softcopy.
Sawa mkuu.Mkuu namie namuomba Chase kwakwelii..!!
Mkuu hicho kitabu cha A COFFIN FROM HONG KONG kinahusu nini maana nimependa Tittle yake?Mkuu shukran sana,
Binafsi kwa mwaka huu nimesoma vitabu vifuatavyo
1. Rich Dad Poor dad
2. Cashflow quadrant
3. Pesa zako zinanuka
4. A Coffin from Hong Kong
5. Nyuma ya Panzia
6. Alfu lela ulela Kitabu cha 1
7. Njama by A. E. Musiba
8. Hofu by A.E. Musiba
9.kikosi cha kisasi by A. E.Musiba
10.Mbali na Nyumbani by Adam shafii
11. Haini by Adam Shafii
12. Mtambo wa mauti by Ben R Mtobwa
13. A man who sold his ferrari
14.