Mkuu namba 2, 3 & 4 unazo softcopy??
Kama unazo utafanya vyema kuweka hapa jukwaani
Hapana mkuu, nina hard copy tu.
Mkuu namba 2, 3 & 4 unazo softcopy??
Kama unazo utafanya vyema kuweka hapa jukwaani
Unasoma na kuelewa au unasoma tu kama kiarabu?Salaam wanabodi
Wakati mwaka ukielekea Ukingoni yatupasa kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa neema na rehema zake.Ni ukweli kuwa ametubariki kuliko yale tunayostahili
Nawapongeza wale ambao wanatumia muda wao kujisomea,kwenye vitabu kuna maarifa mengi,Natoa rai kwa wale ambao bado hawana utaratibu wa kujisomea kuanza mwaka 2019 kwa kujisomea ili kupata maarifa mapya.
Hii ndio list ya vitabu vyangu ambavyo nimesoma kwa mwaka 2018 pamoja na kusoma nimechambua baadhi,kimsingi uchambuzi ni raha ya ajabu
1.Team of Rivals. by Doris Kearns
2.Rise of IS IS. by David French & Jordan Sekulow
3.Fire & furry. by Michael Woiff
4.Devils Bargain by Joshua Green
5.Behind the presidential curtain.by Noble Marara
6.Leadership in turbulent times by Doris Kearns
7.Red Notice by Bill Browder
8.Third door by Alex Banayan
9.The King of Oil.By Marc Rich
10.Why mars vs Venus Collide by John Gray
11.Venture deals by Brad Feld
12.Bloodlands by Timothy Snyder
13.Black Earth by Timothy Synder
14.Hitler & Stalin by Allan Block
15.The road to Unfreedom by Timothy Synder
16.Fascism a Warning by Madeline Albright
17.Zero to One by Blake Master & Peter Thiel
18.Start with WHY by Simon Sinek
19.The power of Habit by Charles Duhigg
20.The hard thing about Hard Thing by Ben Horowitz
21.Love in the time of Cholera by Gabriela Marquez
22.Water for Elephants by Sara Cruen
23.How to make Impossible Possible
Mkuu hao wote wameshakuona we ndio fursa ya wao kuendelea kiuchumi.
Tajiri anaandika ili amuuzie maskini, maskini ananunua kwa kutoa hata kidogo alichonacho akidhani atapata mafanikio kama tajiri kwa kusoma mavitabu tu.
Sasa kwa vile Billgate mzungu anatoa orodha ya vitabu anavyosoma na wewe kalumanzira ndo unaiga kichwa kichwa bila kufahamu haswa siri iliyoko nyuma ya mafanikio yake.
Hao wazungu ni wajanja sana wanacheza na uvivu wenu wa kufanya kazi na kujituma.
Wanatengeneza fursa kupitia kwenu.
Nawewe anza kusoma vitabu alafu baada ya miaka kadhaa tupe mrejesho kama umefikia hata asilimia sifuri kama sio hasi ya ukwasi wa hao wanaokuandikia vitabu
Fahamu, hao ni wajasiliamali wanaandika vitabu na kukuuzia wewe masikini ili usifanye kazi uendelee kununua vitu vyao
Sent using Jamii Forums mobile app