Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,560
- 123,011
Unahitaji soft copy?
Yes, why not?
Unahitaji soft copy?
Nitaupload jioni
Viko kwenye device nyingine
We utakuwa mwanafunzi bilashaka.Salaam wanabodi
Wakati mwaka ukielekea Ukingoni yatupasa kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa neema na rehema zake.Ni ukweli kuwa ametubariki kuliko yale tunayostahili
Nawapongeza wale ambao wanatumia muda wao kujisomea,kwenye vitabu kuna maarifa mengi,Natoa rai kwa wale ambao bado hawana utaratibu wa kujisomea kuanza mwaka 2019 kwa kujisomea ili kupata maarifa mapya.
Hii ndio list ya vitabu vyangu ambavyo nimesoma kwa mwaka 2018 pamoja na kusoma nimechambua baadhi,kimsingi uchambuzi ni raha ya ajabu
1.Team of Rivals. by Doris Kearns
2.Rise of IS IS. by David French & Jordan Sekulow
3.Fire & furry. by Michael Woiff
4.Devils Bargain by Joshua Green
5.Behind the presidential curtain.by Noble Marara
6.Leadership in turbulent times by Doris Kearns
7.Red Notice by Bill Browder
8.Third door by Alex Banayan
9.The King of Oil.By Marc Rich
10.Why mars vs Venus Collide by John Gray
11.Venture deals by Brad Feld
12.Bloodlands by Timothy Snyder
13.Black Earth by Timothy Synder
14.Hitler & Stalin by Allan Block
15.The road to Unfreedom by Timothy Synder
16.Fascism a Warning by Madeline Albright
17.Zero to One by Blake Master & Peter Thiel
18.Start with WHY by Simon Sinek
19.The power of Habit by Charles Duhigg
20.The hard thing about Hard Thing by Ben Horowitz
21.Love in the time of Cholera by Gabriela Marquez
22.Water for Elephants by Sara Cruen
23.How to make Impossible Possible
Mkuu hivyo vitabu vya musiba na shafih Adam soft copy unaweza kutuwekea humu ,nimevitafuta bila mafanikioMkuu shukran sana,
Binafsi kwa mwaka huu nimesoma vitabu vifuatavyo
1. Rich Dad Poor dad
2. Cashflow quadrant
3. Pesa zako zinanuka
4. A Coffin from Hong Kong
5. Nyuma ya Panzia
6. Alfu lela ulela Kitabu cha 1
7. Njama by A. E. Musiba
8. Hofu by A.E. Musiba
9.kikosi cha kisasi by A. E.Musiba
10.Mbali na Nyumbani by Adam shafii
11. Haini by Adam Shafii
12. Mtambo wa mauti by Ben R Mtobwa
13. A man who sold his ferrari
14.
Mkuu mawazo yako ni potofu kabisa.We utakuwa mwanafunzi bilashaka.
Mtu mzima kuishi kwa kutegemea mawazo ya wengine kwenye mavitabu ni ulofa sana.
Matajiri unaowaona leo hawayajui hayo makaratasi.
Huo muda wa kushinda kwenye makaratasi ndugu unaupata wapi?
Wakati wewe unakariri makaratasi wenzako wako wanahesabu pesa walozopata wakati we unakariri makaratasi .
Hao wanaoandika hayo mavitabu ndio hao motivational speaker wanaodanganya umma na kuwapa anuni za vitabuni za kuwa matajiri ili hali wao ni maskini.
Wewe maskini badala ya kujituma kwa bidii kazini uadhani utatajirika kwa kupewa mawazo ya vitabuni wakati hao walioandika hayo mavitabu wanakutumia wewe maskini ununue vitabu vyao ili wao wapate kujikimu kimaisha.
Utajiri na mafanikio hakuna kanuni bila ya kuwa mbunifu na mpambanaji.
Hayo mavitabu ni kwa ajili ya wasiojiamini na wavivu kufikiri ambao ndio fursa za wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mawazo yako ni potofu kabisa.
Katika list aliyotoa Nanyaro hapo juu kuna kitabu kimeandikwa na bilionea Peter Thiel.
Bilionea Bill gates huwa anatoa list ya vitabu alivyosoma kila mwaka. List ya 2018 hii hapa
5 books I loved in 2018 | Bill Gates
Bilionea Elon Musk amejifunza mambo mengi sana kwa kujisomea peke yake vitabu mbali mbali vya engineering
Bilionea Zuckerberg alianzisha program ya Kujisomea kitabu kimoja kila mwezi
So Masikini peke yake ndio anaweza akawa hajisomei.
Kweli ukitaka kumtawala mtu mweusi weka maarifa kwenye kitabu
Acha kukariri we have three 8 hours in a dayMmh hongera sana but it seems you are not employed bcz you have plenty of time to read 23 books and analyse them or you have an extra ordinary talent..
Ongezea vitabu hivi. Vimeandikwa na ex CIA officer Jason Matthews aliyekuwa amefikia ngazi ya juu. Ni fiction lakini vitakupanua sana ubongo wako ujue jinsi CIA na mashirika mengine ya ujasusi yanavyoendesha mikakati yao kwani vina miakakati mingi ya ukweli:Nicheck whatsap
Mimi ni msomaji mzuri sana wa vitabu. Technic kubwa kabisa ni kuwa na mazoea ya kusoma kila saa. Mwanzoni utaoni ni vigumu (kama hukuwa na mazoea) na vitabu vingine utaviona vigumu kueleweka. Lakini ukiwa na mazoea ya kusoma kadiri muda unavyokwenda utajikuta umezoea. Na ni vizuri sana ukaanza na vitabu vya fiction vyenye hadithi za kusisimua. Baada ya muda utakuwa umejenga mazoea. Kwa mfano vitabu hivi ni vizuri sana na mara ukianzapo hutaki kukiweka chaniMkuu Nanyaro Ephata nafikiri itakuwa vizuri sana ukaelezea namna gani ulivyoweza kuwa unajisomea na imekuwa kama tabia yako katika maisha yako.
Pia speed reading techniques ni muhimu ili mtu aweze kuwa anamaliza vitabu alivyoanza kujisomea.
Nasubiria nijifunze kitu toka kwako kwenye haya
Mkuu icho Cha The battlefield of your mind km unasoft copy naomba ukiweke hapaNgoja nami ni share list yangu, mwaka huu kwangu umekua mwaka wa transformation kubwa maishani mwangu na moja kati ya transformation iliyotokea ni ku develop tabia ya usomaji vitabu (it was on my list of new year resolution 2018).
Sijasoma vitabu vingi sana bado ni mchanga sana kwny hii tasnia but here it is..
BIBLE
Nmesoma kitabu cha
Mwanzo, kutoka, hesabu, kumbu kumbu la torati, Joshua, waamuzi, 1wafalme & 2wafalme.
Personal finance
Richdad poor dad
Increase your financial IQ both of them by R. Kiyosaki
Personal development
Think positive By David Schwarz
Spiritual books
The battlefield of your mind by Joyce Mayer
Mwaka 2019 nimejipanga kuongeza idadi zaidi kutoka vitabu 5 mwaka huu mpaka vitabu 12 kwa mwaka (1book every month) kwa kua nmeshaonja asali natamani kuchonga mzinga sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna soft copy chief?Ongezea vitabu hivi. Vimeandikwa na ex CIA officer Jason Matthews aliyekuwa amefikia ngazi ya juu. Ni fiction lakini vitakupanua sana ubongo wako ujue jinsi CIA na mashirika mengine ya ujasusi yanavyoendesha mikakati yao kwani vina miakakati mingi ya ukweli:
1. Palace of Treason
2. The Kremlin's Candidate
Mkuu shukran sana,
Binafsi kwa mwaka huu nimesoma vitabu vifuatavyo
1. Rich Dad Poor dad
2. Cashflow quadrant
3. Pesa zako zinanuka
4. A Coffin from Hong Kong
5. Nyuma ya Panzia
6. Alfu lela ulela Kitabu cha 1
7. Njama by A. E. Musiba
8. Hofu by A.E. Musiba
9.kikosi cha kisasi by A. E.Musiba
10.Mbali na Nyumbani by Adam shafii
11. Haini by Adam Shafii
12. Mtambo wa mauti by Ben R Mtobwa
13. A man who sold his ferrari
14.
Ongezea vitabu hivi. Vimeandikwa na ex CIA officer Jason Matthews aliyekuwa amefikia ngazi ya juu. Ni fiction lakini vitakupanua sana ubongo wako ujue jinsi CIA na mashirika mengine ya ujasusi yanavyoendesha mikakati yao kwani vina miakakati mingi ya ukweli:
1. Palace of Treason
2. The Kremlin's Candidate
Sina mkuu.
Kwani mkuu inatumika masaa mangapi kusoma novel/kitabu cha 500 Pages ?Mmh hongera sana but it seems you are not employed bcz you have plenty of time to read 23 books and analyse them or you have an extra ordinary talent..